Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

ok - tunaenda kupata "lunch" na jk - see you and

mungu mbariki baba_enock na familia yake
mungu ibariki jamii forum
mungu ibariki tanzania

uchaguzi is now officially over - tuendelee na premier league!

mambo ya arsenal
 
ooya mbona mnaleta habari nyingine za mlo wa mchana??? kuchakachua kura nec imechakachua alafu mnata na Slaa naye aje kupoteza mudawake kula kuku kuna mambo ya muhimu ya kufanya bwana kuliko kula hayo matatizo!!!
 
Ha ha haaa! Rais kilaza ndani ya wait haus.

Ukichakachua, subiri kuchakachuliwa pia.

Nami napata ze laga hapa nikisherehekea ushindi wa John Mnyika na mafanikio ya Chadema kwa ujumla
 
Heri ya wewe NDUGU

:director:wana JF MNYIKA OYYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!
 
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.
Na hao security guards wake Rz1 wanalipwa na nani?? kama si pesa yetu sie walala hoi?? Je treatment yake ina tofauti gani na ya Baba yake?? Au ndo ukiwa Rais basi na familia yako yooooote hata wale waliooa na kuolewa wanalindwa kama wewe? Mi cjui sana siasa naomba nieleweshwe
 
Hujui mambo ya royal family!!!????

kama analindwa sijui ni kwa minajiri gani???? ladba naye anajua siri za nchi!!

eti
ibra mo
tusaidie
 
maumivu kwa wanachadema sasa mkuu kasema tujenge nchi siasa zimeisha
 
Lazima atakuwa anajua siri za nje hilo haloina ubishi na ana role yake kama first boy of the state
 
Iv huyu Ridhiwani ni nani!!Nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na Riz1 tuna tofauti gani!!Kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,Wananchi tufunge Mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.

Dah! Asante ndugu yangu. nilidhani ni mimi tu lililoniumiza kichwa hilo. Mawaziri, wabunge na Wageni waalikwa wote walitakiwa kuwa wameishakaa sehemu zao kuanzia saa Mbili na Wengi waliingia baada ya kuacha magari yao nje. Bwana Mdogo aliingia kama Mgeni wa Heshima na kufunguliwa mlango wa gari na kwenda kuketi kwa Waheshimiwa. KIBAYA zaidi nilichoona mimi, Nyuma ya Kiti alichokaa yeye na Mkewe walikuwa wamekaa Mzee Malecela na Mkewe na Mama Warioba, Bwana Mdogo na Mkewe wakawakaukia na kukaa mbele yao bila hata kuwasalimia! Nikajua kweli Ikulu imepata wenyewe na Masikini akipata makalio hulia Mbwa mbwa mbwa...!

 
usimuonee mbona wengi pia wafatiliwe nyendo zao wanamtukana JK

au kwa kua Slaa ni mtukufu hafai kuguswa ?

na mimi nimesimama imara hao Mods pia wanajua mtu akitukana hajibiwi zaidi ya tusi.
 
waache tu waapishane kinyamela,tutawaona wanakwenda kuwaongoza akina nani?
mnaolazimaisha kuwaongoza hawawataki kabisa....
 
Back
Top Bottom