Sherehe za Kuwakanda Simba 5 zaendelea Zanzibar

Madumbikaya

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Posts
639
Reaction score
1,919
Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar investment and promotion agency).

Wawakilishi wa ZRA na ZIPA wameishukuru club ya Yanga kwa kuonyesha burudani na kandanada safi isiyoumiza moyo.

Aidha, Engineer Hersi ametumia ghafla hiyo kutangaza rasmi siku ya Bacca Day.

Sherehe kubwa zinaendelea Zanzibar baada ya Yanga kuwakanda Simba kiganja cha mkono tarehe 05 November

Engineer Hersi akabidhi ng'ombe kwa mashabiki wa Yanga zanzibar tayari kwa kunywa supu

Matukio haya yameambatana na timu ya Yanga kushiriki katika hafla iliyoandaliwa na serikali ya zanzibar

Kuelekea nyumbani kwa Ibrahim Bacca mamia kwa maelefu ya mashabiki wa Yanga wameambatana kwenda kufurahi pamoja nyumbani kwa ibrahim Bacca

NB;Huu ni mwendelezo wa kuwaharibu wana simba kisaikolojia mpaka sasa wana simba wengi wana matatizo ya afya ya akili imefikia hatua wanataka hata muwekezaji wao bwana Mo Dewji anayetoa mabilioni ya pesa afukuzwe ili timu ianze kupitisha bakuli la kuchangisha mia mia

Mashabiki wengine wa simba wamefikia hatua ya kutaka kupiga mawe basi la wachezaji

Mashabiki wengine simba wamefikia hatua ya kulia ovyo na kuongea ongea barabarani na kujijibu wenyewe wakiwa wanatembea
 
Nao waache sifa sifa sasa wapige zoezi wasitupoteze maboya ya kupigwa 3

Tupo na Al ahly ya Simba yashapita wao wapo busy na supu
Wenzako wanachofurahia ni kandanda safi uwanjani ,Pasi za kueleweka yaani mpira burudani na Furaha

Yanga walishahama kutoka kwenye mpira papatu papatu na kufurahia ushindi wa kubahatisha

Wao wanafuraha ya mioyoni hata sura zao unaona wakiwa wanaangalia mpira wanatabasamu

Hao Yanga hata wakifungwa na Al ahly na hata wakatolewa lakini malengo yao yametimia ,Lengo lao ilikuwa kufika makundi na kandanda safi isiyoumiza mioyo ya mashabiki

Lengo lao sio kuwashinda Al ahly bali kuwaonyesha kandanda safi na burudani ya mioyo

Baada ya kuwaonyesha CR belouzidad kandanda Safi na kuwaacha wakihaha nyumbani kwao

Kwa ushahidi Angalia yule mchezaji wa Simba kaanza kuweka nywele rangi awe kama Pacome wa Yanga lakini bado anacheza mpira papatu papatu mpira bahatisha
 
Aaahaaaa
 
Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar investment and promotion agency).

Wawakilishi wa ZRA na ZIPA wameishukuru club ya Yanga kwa kuonyesha burudani na kandanada safi isiyoumiza moyo.

Aidha, Engineer Hersi ametumia ghafla hiyo kutangaza rasmi siku ya Bacca Day.

Sherehe kubwa zinaendelea Zanzibar baada ya Yanga kuwakanda Simba kiganja cha mkono tarehe 05 November

Engineer Hersi akabidhi ng'ombe kwa mashabiki wa Yanga zanzibar tayari kwa kunywa supu

Matukio haya yameambatana na timu ya Yanga kushiriki katika hafla iliyoandaliwa na serikali ya zanzibar

Kuelekea nyumbani kwa Ibrahim Bacca mamia kwa maelefu ya mashabiki wa Yanga wameambatana kwenda kufurahi pamoja nyumbani kwa ibrahim Bacca

NB;Huu ni mwendelezo wa kuwaharibu wana simba kisaikolojia mpaka sasa wana simba wengi wana matatizo ya afya ya akili imefikia hatua wanataka hata muwekezaji wao bwana Mo Dewji anayetoa mabilioni ya pesa afukuzwe ili timu ianze kupitisha bakuli la kuchangisha mia mia

Mashabiki wengine wa simba wamefikia hatua ya kutaka kupiga mawe basi la wachezaji

Mashabiki wengine simba wamefikia hatua ya kulia ovyo na kuongea ongea barabarani na kujijibu wenyewe wakiwa wanatembea
Hizo ni kafara za damu,endeleeni tu na ibada zenu za kichawi.
Hao Al Ahly wao huchinja ngamia kabisa wakiona wanakutana na timu ngumu.
 
Back
Top Bottom