Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Leo tarehe 27/11/2023 Serikali ya Zanzibar chini ya Rais mwinyi wamekubali kutoa udhamini kwa yanga kupitia taasisi yake ya mapato yaani zanzibar revenue authirity (ZRA) pamoja na ZIPA(Zanzibar investment and promotion agency).
Wawakilishi wa ZRA na ZIPA wameishukuru club ya Yanga kwa kuonyesha burudani na kandanada safi isiyoumiza moyo.
Aidha, Engineer Hersi ametumia ghafla hiyo kutangaza rasmi siku ya Bacca Day.
Sherehe kubwa zinaendelea Zanzibar baada ya Yanga kuwakanda Simba kiganja cha mkono tarehe 05 November
Engineer Hersi akabidhi ng'ombe kwa mashabiki wa Yanga zanzibar tayari kwa kunywa supu
Matukio haya yameambatana na timu ya Yanga kushiriki katika hafla iliyoandaliwa na serikali ya zanzibar
Kuelekea nyumbani kwa Ibrahim Bacca mamia kwa maelefu ya mashabiki wa Yanga wameambatana kwenda kufurahi pamoja nyumbani kwa ibrahim Bacca
NB;Huu ni mwendelezo wa kuwaharibu wana simba kisaikolojia mpaka sasa wana simba wengi wana matatizo ya afya ya akili imefikia hatua wanataka hata muwekezaji wao bwana Mo Dewji anayetoa mabilioni ya pesa afukuzwe ili timu ianze kupitisha bakuli la kuchangisha mia mia
Mashabiki wengine wa simba wamefikia hatua ya kutaka kupiga mawe basi la wachezaji
Mashabiki wengine simba wamefikia hatua ya kulia ovyo na kuongea ongea barabarani na kujijibu wenyewe wakiwa wanatembea