Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
- Thread starter
- #21
Risala imekwisha, sasa JK anakabidhiwa mwenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Mkuu Bagamoyo mshindi kitaifa wa kukimbiza mwenge maana yake nini? Huwa wanashindanishwa kwa vigezo gani au kwa kuwa ndio anakotoka JK??Pwani kwa kuzindua mbio za mwenge, tanga kwa kuzima mwenge, bagamoyo mshindi wa kitaifa wa kukikmbiza mwenge na umezawadiwa sh mil 1.
Wadau waliopewa zawadi, Unicef, Maji na Uwagiliaji, n.k n.k
Mwenge mwenge. Nimempigia mzee wangu asubuhi ya leo, alichoniambia ni kwamba am late nawai kwenye kuzima mwenge.
Nikamuuliza what is this mwenge staff about? Akawa hana cha kusema, nikajua ni urithi wa CCM ambao hauna maana yoyote zaidi ya kuspend tax payer money.
Nadhani Tanzania inabidi tuwe tuna direct vote za kuchagua mambo ya kiwehu kama haya. Yaani kwenye uchaguzi wa 2010 kuwe na option ya kama unataka mwenye uendelee vote Yes na kama hutaki vote NO. hii itatupa power wananchi kuondoa loophole kama hizi.