Jamaniii aiseeee nimefurahi wale watu kuachiwa huru,. Hata kama walifanya unyama lakini wamekoma na wamejifunza sasa warudi kwao wasirembe tena hapa bongo,...dah,
Kwa mtizamo wangu hotuba ya leo ilikuwa nzuri sana. Hongera kwa babu Seya na familia yenu, angalau mmetufunza kutokukata tamaa katika kupigania mustakabali wetu
ukitaka ujue kwamba hawa pipo nyota zao zina nguvu basi wafanye Tamasha siku ya krismasi waliite "THE RETURN OF BABU SEYA" wataingiza mitonyo balaaa!!!