Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Kutoka dodoma rais magufuli kawasamehe papii kocha na familia yake
 
Nimemaikia mkulu akitoa msamaha kwa familia ya Nguza Vicking
 
Kuanzia leo 9 Desemba 2017. Msamaha wa Rais Dk. J. P. Magufuli
 
raisi dk magufuli amewapa msamaha wafungwa babu seya na mwanae waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha
 
Duh! Habari za ajabu hizi hasa hilo la Babu Seya. Yanahitajika maelezo sasa ilikuwaje!
 
Back
Top Bottom