Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

[HASHTAG]#KUMBUKUMBU[/HASHTAG] Desemba 9, 1961, alizaliwa mwanasiasa na kiongozi wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe. Kutokana na kuzaliwa siku ya Uhuru wa Tanganyika, imeelezwa kuwa sababu ya kuitwa 'Freeman'.
Andika neno lolote kumtakia heri
 
Wanajeshi wengine wapelekwe DRC tukalipe kisasi kwa ADF wameua askari wetu wengi sana roho inaniuma
KAMA MUNGU AKKUJALA KWENDA KIVU YALIPOTOKEA MAUAJI YA HAO WANAJESHI WETU WATAKUSIMULIA KILICHOTOKEA HATUSEMAGI LA RAIA WATASEMA REJEA MAUAJ YA DAFUR
 
Napenda hizi sherehe ziwe zinajitofautisha na mambo ya siasa na vyama.

Jana nimesikitika sana kuona kampeni ya uzalendo ikigubikwa na uchama.

We have a long way, very long way to go and it is likely we will never get there.
Mpaka wakubwa wenyewe wakemee. Shughuli ya kitaifa ibaki ya kitaifa marufuku kuvaa nguo za chama au kuongelea mambo ya vyama
 
[HASHTAG]#KUMBUKUMBU[/HASHTAG] Desemba 9, 1961, alizaliwa mwanasiasa na kiongozi wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe. Kutokana na kuzaliwa siku ya Uhuru wa Tanganyika, imeelezwa kuwa sababu ya kuitwa 'Freeman'.
Andika neno lolote kumtakia heri
Hongera sana na uwe na umri mrefu ili uendelee kuwatawala cdm kwa maisha yako yote.
HBD m/kiti wetu wa maisha[emoji512]
 
Special forces wetu wame conduct house raid in weak way. I mean wangekuwa quick na more precise kuliko kuweka njonjo nyingi.
 
sijajua kule DRC wale wapiganaji wanajisikiaje Muda huu ambapo wanaomboleza lakini sisi huku tunasherekea; kwakweli inauma sana....utadhani hawana moyo wa nyama.
 
Kuna mwingine alikuja kanisani amevaa nguo ya ccm ilipofika muda wa kupeana amani nikawa nampotezea kila akinipa mkono, badae nikamwambia yesu alisurubiwa kwajili ya lichama kama lenu sasa unapovaa hayo manguo kanisani ni kuleta mapepo kwenye nyumba ya bwana!
hahaha watu mna vituko
 
Ila utoaji heshima kwa KUZUNGUSHA MIKONO ni zoezi mujarabu!?
Pathetic swine!
Acha upumbavu wanaume wanapo ongea maswala ya umuhimu..Kuzungusha mikono limeingiaje hapa sio Uzi Wa siasa huu kama we ni mfatiliaji Wa hili zoezi
 
wakalete su-24 su-35 ,Su-27 su-30,su-33 na MiG-35 zitamudu hayo manjonjo marubani nao wakachukue kozi ya kutosha
Ni kweli lakin .mbona mwanzo walifanya vyema tu na hiz hiz
 
Kuvaaa nguo za Chama kunazid kuligawa taifa. ..wakumbke mwalim JkNyerere. .alilnda umoja WA taifa kwa kutovaa rangi za vyama...Rip Baba waTaifa
 
Gaidi kavaa sendoz....pale ndio walipokosea
 
Back
Top Bottom