Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu ni nani?Habarini Wana Jamvi . Nasikiliza Hotuba Ya Mh Magufuli Amesamehe Wafungwa Zaidi Ya Elf Nane Swali Langu Ni Kwamba Lulu Anaweza Akapitia Mwanya Huu Kutoka Au Ataendelea Kubaki Lupango Na Je Akina Babu Seya Je. Nawasilisha