Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Hapana taarifa za siri zinasema ile barua babu seya aliyomwandia ngosha ilimuumiza sana

Hivyo atamwachia huru mda wowote
 
Habarini Wana Jamvi . Nasikiliza Hotuba Ya Mh Magufuli Amesamehe Wafungwa Zaidi Ya Elf Nane Swali Langu Ni Kwamba Lulu Anaweza Akapitia Mwanya Huu Kutoka Au Ataendelea Kubaki Lupango Na Je Akina Babu Seya Je. Nawasilisha
 
mmmh! kasamehewe nguza vikingi babu seya!
 
Duh! Habari za ajabu hizi hasa hilo la Babu Seya. Yanahitajika maelezo sasa ilikuwaje!
 
Habarini Wana Jamvi . Nasikiliza Hotuba Ya Mh Magufuli Amesamehe Wafungwa Zaidi Ya Elf Nane Swali Langu Ni Kwamba Lulu Anaweza Akapitia Mwanya Huu Kutoka Au Ataendelea Kubaki Lupango Na Je Akina Babu Seya Je. Nawasilisha
Lulu ni nani?
 
It was;
Dady is coming.

Now it is;
Dad has come, you are free.

Kweli Bashite ana nguvu sana, huenda mauno yake yanampa jeuri kwa babaye.
 
Safi sana
tutoke wote mpenzi wangu seya[emoji445][emoji444][emoji447]
 
Magufuli kawasamehe familia ya Nguza Vicking kuanza Leo.
Msaada huo ameutangaza Leo akihutubia Taifa kwenye maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika.
Hamna marefu yasiyo Na ncha
 
Back
Top Bottom