Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Nilishasema kitambo kuwa nchi sasa iitwe nchi ya ccm, isiitwe tanzania, tunaomba nchi hii itambulike ni nchi ya ccm tuvae kijani mwanzo mwisho
Kwa kweli asipotokea mtu wa kuwakanya juu ya hili itabidi iwe hivyo tutake tusitake
 
Kuna mwingine alikuja kanisani amevaa nguo ya ccm ilipofika muda wa kupeana amani nikawa nampotezea kila akinipa mkono, badae nikamwambia yesu alisurubiwa kwajili ya lichama kama lenu sasa unapovaa hayo manguo kanisani ni kuleta mapepo kwenye nyumba ya bwana!
 
Kwa kweli asipotokea mtu wa kuwakanya juu ya hili itabidi iwe hivyo tutake tusitake
Huwa utakuta ni watu na familia zao wanaofanya hivyo katika sherehe au mkusanyikobwa serikali, nilichogundua mie utakuta wale wakubwa au wageni waalikwa wanavaa nguo za kawaida, wenzangu na mie utakuta kijani mwanzo mwisho
 
Amiri jeshi mkuu na mwenyeji wake CDF wanakagua Gwaride
 
Na leo wamevaa? Nakumbuka kipindi fulani PM aliwakemea haileti picha nzuri hata kidigo ktk matukio ya kitaifa. Ukizingatia sio chama kilicholeta Uhuru
 
Huwa utakuta ni watu na familia zao wanaofanya hivyo katika sherehe au mkusanyikobwa serikali, nilichogundua mie utakuta wale wakubwa au wageni waalikwa wanavaa nguo za kawaida, wenzangu na mie utakuta kijani mwanzo mwisho
kabisa wale wa kujipendekeza ndio style zao hizo wakati viongozi wakuu hawajavaa hio mijezi
 
Ifike muda masuala ya kitaifa yawe ya kitaifa tusiyaambatanishe na issue za vyama ...

Uwanjani naona rundo la jezi za ccm.
 
Kuna lizee limoja jana nimekutana nalo pale St Gaspel kule kisasa Dodoma.... Eti lilikua limevaa gauni ya chama, kisa lilishiriki sjui kitu gani cha akina mama wa sisiem......
Yaani lile lizee lilinikera hadi nikahiskia vibaya
 
labda hawana pamba zingine za kuvaa (just kidding 😀)
kiukweli hata mimi wameshanikera vya kutosha na nikishazionaga tu hizo sare zao za mbogamboga kwenye shughuli yoyote ya kitaifa huwa nazima TV na kuondoka zangu.
 
Back
Top Bottom