Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaNchi ni mali ya wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama kuleta viashiria vya kichama katika mambo ya utaifa ni mbaya sana
Kuna Ukoloni Mambo Leo...Uhuru Upo wapi?
Watanzania wapo huru?
GreatTanzania iko huru ila watanzania hawako huru .
Uhuru uko wapi! mnasherekea uhuru wakufanisi viongozi wakijiudhuru na wanaokufa maskini wanangu .......mungu aliwapa madini mna binafsisha mkabulu
Nakwenda Zimbabwe
Mimi naona na bendera ipepee nusu mlingoti..!
!
Nadhani kwa tukio la Jana huko DRC ingekuwa Uzalendo kuahirisha sherehe.
Aidha, badala kuonesha ukakamavu uwanjani kama gwaride sijui kuvunja mawe kwa kichwa sijui misumari wangeenda kufanya kweli hukohuko. Sioni tija ya saluti za ndege, kushuka na maparachuti uwanjani au watu kupigiza miguu chini kwa nguvu wakati huko kwenye field hali ni kama tulivyojuzwa Jana.
Ni maoni yangu tu, sio lazima nanyi muwaze kama mimi. [HASHTAG]#tusijeanzatafutana[/HASHTAG]
That's the mistake siku zote tunakosea.... Sherehe za uhuru sio za kuwa holded na Chama chochote cha siasaMbona kumejaa manguo ya CCm
..uhuru anao Mbowe !Uhuru Upo wapi?
Watanzania wapo huru?
Ndo wenye nchi !Mbona kumejaa manguo ya CCm
..analegeza vyuma, au !?Hivi haya maadhimisho bado yanaendelea?hatubani matumizi tena loh
Big up for what you said. Katika nchi hii, tunavipigania zaidi vyama vyetu kuliko tunavyoipiganiaTanzania.Kwa kweli kati ya mambo yanayokera sana ni hili la wafuasi wa chama tawala kuvaa sare za chama chao katika shughuli mbalimbali za kitaifa amabazo kimsingi si za kiitikadi kwa kisingizio cha kuwa wao ndio chama dola hakika si sawa kwani suala la wao kuwa chama dola linfahamika na linapokuja suala la kitaifa umoja usio na itikadi ni jambo la msingi zaidi kuliko kuleta viashiria vya kichama.
Hii ya Wanajeshi wetu kuuwawa na wengine kuumizwa imenihuzunisha sana.
Mantiki ya kufanyia sherehe za uhuru kitaifa Dodoma ni ipi? Uwanja wa uhuru kitaifa si ulikuwa Dsm.