Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

Wametumia kigezo gani mpaka kuanza kuzitoza
 
Serikali inayowaza mambo madogo kila siku, wanazidi kumkamua mwananchi ambae hawajamuongezea mshahara miaka yote mitano, halafu wanajiita serikali ya wanyonge, sijui wanyonge wa nchi gani.
 
Mbona sioni walipoandika ubatizo na hitima
 
"Naunga mkojo oga"....Tuna mbinu buni (kumradhi) "tuna mbuni binu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…