Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Magufuli atatufikisha huko ndani ya awamu yake.Bado sana... Labda myaka 20 ijayo.
Mkuu upoEnzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.
Akamwambia Nyerere.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".
Nyerere alicheka sana.
Ndoto ya kichaa...Magufuli atatufikisha huko ndani ya awamu yake.
Nipo Mkuu, mambo yanaendeleaje?Mkuu upo
kwa hiyo unataka kusema kitu duni ndo cha Afrika?,kwa ni hiyo opening ceremony ni ya Misri au CAF?,kama nchi ndo inafanya hiyo sherehe iwe bora basi South Afrika walifanya vyema zaidi.....punguza kujidharauLet's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Wahuni tu...TBC wameshindwa kuonyesha haya mashindano itakuwa kuandaa sherehe za ufunguzi kama hizi.
Kwahyo pale kwa mchina uzinduzi wa michuano ya under 17 ilikuwa CAF au TFF?kwa hiyo unataka kusema kitu duni ndo cha Afrika?,kwa ni hiyo opening ceremony ni ya Misri au CAF?,kama nchi ndo inafanya hiyo sherehe iwe bora basi South Afrika walifanya vyema zaidi.....punguza kujidharau
ww unaonaje?Kwahyo pale kwa mchina uzinduzi wa michuano ya under 17 ilikuwa CAF au TFF?
Fresh ivi mshana aligoma kabsa kueleza maana Akili?Nipo Mkuu, mambo yanaendeleaje?
Huna Imani na Rais wa taifa lako ?Ndoto ya kichaa...
nimeangalia mkuu ama hakika kwa nchi za kiafrica huenda ikachukua muda mrefu sana kupata kushuhudia sherehe zaufunguzi za kiwango hiki.Ata sielewi kwakweli ila aliye angalia sherehe za ufunguzi anaweza kutupa jibu sahihi kama ni Africa au ni ulimwengu wa kwanza.
Hahaaa, wewe bado unakumbuka mjadala ule tu?Fresh ivi mshana aligoma kabsa kueleza maana Akili?