brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Alikuwa anajifanya anataka kuonyesha ufundiHuyu bwege Jana kachomesha.. Kaniudhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anajifanya anataka kuonyesha ufundiHuyu bwege Jana kachomesha.. Kaniudhi.
Tanzania sio masikini kabisa, ila rasilimali zetu zina wenyewe sisi wengine tuna ardhi isiyo na faida hata kwa kilimo.Kwahiyo unaamini kua Tanzania siyo nchi masikini? yaani umeme unawekwa kwenye nyumba ya tembe alafu unaliita 85%
Furu za mwanza....nimezila sana nilipokua boardingMajina ya Zimbabwe bwana,kuna mchezaji anaitwa Kafuru.Nimekumbuka furu na ugali wa Udaga.
ulikuwepo?Enzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.
Akamwambia Nyerere.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".
Nyerere alicheka sana.
Ni mfano unaoonesha vizuri sana baadhi ya Wamisri wanavyojiona Waarabu zaidi ya Waafrika.
tukiungana na ZanzibarTanganyika tunaweza ?
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Mkuu wala hujakosea, ukienda Cairo au Johannesburg ndio utajua nchi za Misri na Afrika ya Kusini zipo Afrika by Location.Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
🤣🤣🤣 Hii kali!!Enzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.
Akamwambia Nyerere.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".
Nyerere alicheka sana.
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Wewe unzungumzia kama ungalikua tenaTanzania sio masikini kabisa, ila rasilimali zetu zina wenyewe sisi wengine tuna ardhi isiyo na faida hata kwa kilimo.
Angola haitufikii hata theluthi kama rasilimali zingekuwa zinatumika ipasavyo nadhani tungekuwa miongoni mwa nchi mbili tajiri Africa.
Huyu huyu aliye kwapua 1.5 T?Magufuli atatufikisha huko ndani ya awamu yake.
Kijiografia Misri ipo katika bara la Afrika.Wewe una mtazamo gani Mzee
Ana haki aseme hivyo maana si wote wenye king'amuzi Cha Azam,lakini ingeonyeshwa na TBC hakuna ambaye angekosa kuangalia, nini maana ya akina sisi kufurahia timu yetu kufuzu? kwamba watu wakajazane kwenye vibanda wakati Wana TV majumbani? Aliyeiloga nchi yangu alaaniwe hata kama kisha zimaMkuu punguza jazba.
WanajitambuaTibisii licha ya kuwa taifa stars ipo katika hayo mashindano lakini wanashindwa kuonesha kabisa, wakati KBC ya Kenya na RwandaTv wanaonesha mubashara kabisa
Nilikuwepo, Paul Sozigwa alikuwepo, Dr. Mahiga alikuwepo.Kaka Mako alikuwepo.ulikuwepo?
Hata Russia ni AsiaChina ni Asia lakini Afghanistan, Yemen na Bangladesh ni Asia pia.