Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Kwahiyo unaamini kua Tanzania siyo nchi masikini? yaani umeme unawekwa kwenye nyumba ya tembe alafu unaliita 85%
Tanzania sio masikini kabisa, ila rasilimali zetu zina wenyewe sisi wengine tuna ardhi isiyo na faida hata kwa kilimo.

Angola haitufikii hata theluthi kama rasilimali zingekuwa zinatumika ipasavyo nadhani tungekuwa miongoni mwa nchi mbili tajiri Africa.
 
Hujaona uzinduzi wa Ndondo Cup wewe,ilikuwa zaidi ya hiyo ya Misri
 
Daaah hawa jamaa wametuacha mbali sana. Hii sherehe yao ya ufunguzi ni moja ya sherehe bora nilizowahi kuziona.
 
Enzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.

Akamwambia Nyerere.

"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".

Nyerere alicheka sana.
ulikuwepo?
 
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.

Misri ni ulaya. Mwenye wivu atabisha
 
Mkuu wala hujakosea, ukienda Cairo au Johannesburg ndio utajua nchi za Misri na Afrika ya Kusini zipo Afrika by Location.
 
Sijaangalia ufunguzi wao,lakini ukiangalia ufunguzi wa na ule wa kombe la dunia South Africa upi upo juu sana?
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
 
Tanzania sio masikini kabisa, ila rasilimali zetu zina wenyewe sisi wengine tuna ardhi isiyo na faida hata kwa kilimo.

Angola haitufikii hata theluthi kama rasilimali zingekuwa zinatumika ipasavyo nadhani tungekuwa miongoni mwa nchi mbili tajiri Africa.
Wewe unzungumzia kama ungalikua tena
 
Wewe una mtazamo gani Mzee
Kijiografia Misri ipo katika bara la Afrika.

Ila imetengwa na jangwa la Sahara ambalo linagawanya Afrika katika sehemu mbili, kaskazini mwa jangwa la Sahara na kusini mwa jangwa la Sahara.

Utengano huu umefanya tamaduni za nchi kama Misri, Libya, Tunisia, Algeria na Morocco kuwa karibu zaidi na Middle East/ Southern Europe kuliko Sub Saharan Africa.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri angekuwa sahihi zaidi angesema hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kufika Africa Kusini mwa Jangwa la Sahara.

A specter of binary thinking and non existent mutual exclusivity are haunting and clouding clarity in matters that require multiplicity.
 
Mkuu punguza jazba.
Ana haki aseme hivyo maana si wote wenye king'amuzi Cha Azam,lakini ingeonyeshwa na TBC hakuna ambaye angekosa kuangalia, nini maana ya akina sisi kufurahia timu yetu kufuzu? kwamba watu wakajazane kwenye vibanda wakati Wana TV majumbani? Aliyeiloga nchi yangu alaaniwe hata kama kisha zima
 
Back
Top Bottom