Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
kwa hiyo unataka kusema kitu duni ndo cha Afrika?,kwa ni hiyo opening ceremony ni ya Misri au CAF?,kama nchi ndo inafanya hiyo sherehe iwe bora basi South Afrika walifanya vyema zaidi.....punguza kujidharau
 
Kwahyo pale kwa mchina uzinduzi wa michuano ya under 17 ilikuwa CAF au TFF?
 
Afrika mkuu ni chini ya jangwa LA Sahara huku ndo kwao malaria na magonjwa ya kimasikini tunaugua.kule Afrika kaskazini msiwe mnajiona kuwa mko nao sawa kisa mnakalia bara moja. Sure sio
 
Back
Top Bottom