Sawa mkuu, ila wameniudhi sanaMkuu punguza jazba.
Jamaa wamejiandaa sana,namuona salah katokelezea hapa ,ngoja tushuhudie mtanange.Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
MhhhhMagufuli atatufikisha huko ndani ya awamu yake.
Teh ! I[emoji28]Enzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.
Akamwambia Nyerere.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".
Nyerere alicheka sana.
Ubao unasomekaje mkuu?Hawa Zimbabwe wanaweza wakapigwa MKONO.
0-0 kwasasa.Ubao unasomekaje mkuu?
Ndio maana wanaifadhir hata tz...mfano visima....na sasa mrad wa umemeMeans nikweli tunatoka nao bara moja kweli mbona wametuacha mbali kiasi hichi?