Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

nimeangalia mkuu ama hakika kwa nchi za kiafrica huenda ikachukua muda mrefu sana kupata kushuhudia sherehe zaufunguzi za kiwango hiki.
Nisaidie kuwatag wabishi wote kwenye hii thread.
 
Sisi ni wapumbavu sana, timu yetu imefuzu hakuna hata channel ya taifa inaonyesha, wako wanaonyesha matakataka, kazi kuimba uzalendo uzalendo wakati hawawezi kuutekeleza kwa vitendo, pumbaafu kabisa
Mkuu punguza jazba.
 
Inaaminika mabara yote yalikuwa pamoja. Baadae sijui mungu aliwaza nini akatenganisha na maji
 
Tibisii licha ya kuwa taifa stars ipo katika hayo mashindano lakini wanashindwa kuonesha kabisa, wakati KBC ya Kenya na RwandaTv wanaonesha mubashara kabisa
 
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Jamaa wamejiandaa sana,namuona salah katokelezea hapa ,ngoja tushuhudie mtanange.
 
Back
Top Bottom