Majina ya Zimbabwe bwana,kuna mchezaji anaitwa Kafuru.Nimekumbuka furu na ugali wa Udaga.
Kiswahili kizuri ni "akatenganisha kwa maji" Mengine sina comment.Inaaminika mabara yote yalikuwa pamoja. Baadae sijui mungu aliwaza nini akatenganisha na maji
Hahahaha mkuu huwezi kuamini mimi ni mpenzi wa kuangalia TV za Angola hawa jamaa wanatarajia mpaka 2024 umeme uwe umewafikia wananchi wao kwa asilimia 51%!GDP ya Afrika inabebwa na nchi nne tu( karibu 80%) Nigeria, Afrika kusini, Misri na Angola. Tuko tofauti sana.
How did u get this? Namanisha ulikuwaje faster mpaka ukapiga picha hii kitu?Pale Knowledge inaposhindwa kukusaidia unaifanyia SUB na TalentView attachment 1134204
Ila wewe mchizi ni shidaEndelea tu kujidharau. Sina shida na hilo.
Huyu bwege Jana kachomesha.. Kaniudhi.Pale Knowledge inaposhindwa kukusaidia unaifanyia SUB na TalentView attachment 1134204
Kwa Hiyo Ukikataa Wewe Inaondoa Uhalisia Kwamba Misri Sio Sehemu Ya Bara La Afrika?Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Enzi za Utawala wa Nyerere, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alikuja Tanzania.
Akamwambia Nyerere.
"Hii ni mara yangu ya kwanza kufika Afrika".
Nyerere alicheka sana.
Ni mfano unaoonesha vizuri sana baadhi ya Wamisri wanavyojiona Waarabu zaidi ya Waafrika.PLO Lumumba anapenda sana kutumia huu mfano kwenye speech zake.
Kwahiyo unaamini kua Tanzania siyo nchi masikini? yaani umeme unawekwa kwenye nyumba ya tembe alafu unaliita 85%Hahahaha mkuu huwezi kuamini mimi ni mpenzi wa kuangalia TV za Angola hawa jamaa wanatarajia mpaka 2024 umeme uwe umewafikia wananchi wao kwa asilimia 51%!
Yani ninahisi hawa jamaa maendeleo yao hayajatanuka yamejifungia, sisi tunakimbilia 85% ya kusambaza maumeme japo tunadanganywa na viongozi kuwa taifa la Tanzania ni masikini
China ni Asia lakini Afghanistan, Yemen na Bangladesh ni Asia pia.
Kwenye DStv unaweza ukaweka pouse then ukapiga picha sema quality haiwezi kuwa nzuri Kama apoHow did u get this? Namanisha ulikuwaje faster mpaka ukapiga picha hii kitu?