Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Misri ni afrika na Ilikaliwa na kutawaliwa na mtu Mweusi kwa miaka maelfu
 
Pale Knowledge inaposhindwa kukusaidia unaifanyia SUB na Talent
D9ndYFBXYAEwJDD.jpeg
 
GDP ya Afrika inabebwa na nchi nne tu( karibu 80%) Nigeria, Afrika kusini, Misri na Angola. Tuko tofauti sana.
Hahahaha mkuu huwezi kuamini mimi ni mpenzi wa kuangalia TV za Angola hawa jamaa wanatarajia mpaka 2024 umeme uwe umewafikia wananchi wao kwa asilimia 51%!

Yani ninahisi hawa jamaa maendeleo yao hayajatanuka yamejifungia, sisi tunakimbilia 85% ya kusambaza maumeme japo tunadanganywa na viongozi kuwa taifa la Tanzania ni masikini
 
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana kwenye ulimwengu wa kwanza hawawezi Kufanya opening ceremony kama hii kwa umakini ulio tukuka kama huu.
Kwa Hiyo Ukikataa Wewe Inaondoa Uhalisia Kwamba Misri Sio Sehemu Ya Bara La Afrika?
 
Hahahaha mkuu huwezi kuamini mimi ni mpenzi wa kuangalia TV za Angola hawa jamaa wanatarajia mpaka 2024 umeme uwe umewafikia wananchi wao kwa asilimia 51%!

Yani ninahisi hawa jamaa maendeleo yao hayajatanuka yamejifungia, sisi tunakimbilia 85% ya kusambaza maumeme japo tunadanganywa na viongozi kuwa taifa la Tanzania ni masikini
Kwahiyo unaamini kua Tanzania siyo nchi masikini? yaani umeme unawekwa kwenye nyumba ya tembe alafu unaliita 85%
 
Back
Top Bottom