Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

Jamaa anatafsiri Africa kama black race . Mabara ni zao la sababu za Kijiografia na sio mtawanyiko na mikusanyiko ya watu
 
Tanzania sio masikini kabisa, ila rasilimali zetu zina wenyewe sisi wengine tuna ardhi isiyo na faida hata kwa kilimo.

Angola haitufikii hata theluthi kama rasilimali zingekuwa zinatumika ipasavyo nadhani tungekuwa miongoni mwa nchi mbili tajiri Africa.
Tanzania imejaliwa kila aina ya rasilimali ,ila wamekosa rasilimali moja ya muhimu ambayo ukiikosa hiyo hizo zingine zinakuwa ni kazi bure na rasilimali yenyewe ni akili
 
Hii nchi inaongoza Africa kwa kupokea misaada mingi kutoka Marekani, ila wao wanajua jinsi gani waitumie, sisi enzi za mkwere tulikuwa tukipokea mabilion ya dollar kutoka Marekani ya MCC na Libya lakini yalikuwa yakiishia juu kwa juu
 
Jamaa ni kama vile wamerogwa tena aliye waroga kafa. ...yaani wanaendesha media ya taifa kama vile ni chombo cha family
Sisi ni wapumbavu sana, timu yetu imefuzu hakuna hata channel ya taifa inaonyesha, wako wanaonyesha matakataka, kazi kuimba uzalendo uzalendo wakati hawawezi kuutekeleza kwa vitendo, pumbaafu kabisa
 
Unapoongelea Misri unaongelea taifa lenye historia ndefu sana chini ya jua, toka enzi za akina Ibrahimu, mababu na mababu lipo, lina baraka zake kutoka kwa Mungu kwa kuwafadhili wayahudi tu

Unashindanishaje na taifa kama hili??? Haupo seriously mtoa mada
 
Back
Top Bottom