Upendo kitundu
Member
- Dec 17, 2022
- 73
- 46
Hizi ni baadhi ya sheria nilizojifunza ambazo naamini na wewe zitakusaidia.
Ikiwa unatamani kuishi maisha ya majuto au umaskini, basi zipuuzie sheria hizi.
1. Sheria ya kutengeneza fedha.
Inawezekana ukalichulia kwa ukubwa jambo hili, ila suala la kutengeneza fedha ana maana kuwa UTALIPWA KULINGANA NA THAMANI UNAYOZALISHA.
Ni vyema ikiwa utajitolea muda wako, kutoa thamani katika baadhi ya vitu ndipo utaweza kulipwa.
2.Kutunza fedha.
Ikiwa unatamani kuwa mtunzaji mzuri wa fedha, basi inakupasa uwe na nidhamu binafsi itakayoweza kukusaidia kufikia lengo hilo. Bila kutunza fedha, tutajikuta ni fedha nyingi zinapita mikononi mwetu na kupotea.
3. Ifanye fedha ikuzalishie.
Suala la kutengeneza fedha huwa ni la kwanza, kisha kuitunza na baadae ni namna ya kufanya hela uliyoitunza ikuzalishie faida. Inapaswa tuwe na taarifa sahihi kuhusiana na kile tunachoenda kukifanya.
Je somo hili limekusaidia?