Sheria ambazo hazijaandikwa lakini kila mtu anapaswa kujua na kuzifuata

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
1. Usizungumze na mtu aliyevaa earphones Kimsingi unapoteza wakati wako.




2. Usizungumze wakati wa kutafuna au kula.

3.Usiweke picha zako kwenye mitandao ya kijamii wakati umetoa ombi la likizo kazin kuhusu afya yako ya mwili

4. Usitumie "k, hmm" katika mazungumzo yako(chatting). It sounds like haupendezwi na mazungumzo hayo na inaakisi dharau kwa kweli


5. Ikiwa zipu ya msichana iko wazi au nguo yake ya ndani inaonekana Usiitazame.

6. Ikiwa kuna mtu amekupa zawadi onyesha ushirikiano hata kutabasamu tu

7.Subiri watu watoke kwanza ndio wewe uingie



8. Usitoe ushauri kwa watu hadi uombwe

9. Fuata foleni.



10. Wape heshima sawa wahudumu na wafanyikazi walio chini na juu yako .
 
usijambe kwenye usafiri wowote wa public bali nenda kajambie kwako...
ukiwa unaongea na ukijua mate huruka kaa kimya yaani SHUT THE FUKc UP!!..
usitongoze mwanamke kwa dhumuni la kumkula na kukimbia kama huwezi kuwa nae kwa makubaliano acha tamaa muache aendelee na mishe zake
 
Demu akiniandikia K
Atarajie kupata k mfurulizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…