Sheria gani inasimamia huduma za fedha?

Sheria gani inasimamia huduma za fedha?

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,167
Reaction score
5,613
Ningependa kujua sheria na au taratibu zinazosimamia huduma za kifedha kama MPesa, TigoPesa, BPesa, Credit cards, nk.

Hivi ni sawa na za benki? Kama sio, tofauti yake ni ipi na utaratibu wa uanzishwaji wake unatofauti gani na Benki?
Shukrani
 
Maswali yako yanahitaji ulipie huduma hiyo ya kisheria. Tafadhali waone Mawakili
 
Sidhani kama tayari kuna sheria kuhusu hizo M-pesa na huduma nyingine za namna hyo ambazo ni Electronic commerce oriented labda kwa sheria ya sasa ya Cyber crime Act ya makamba na ccm yake
Ila kwa upande wa credit cards hizo ni part ya normal banking services zinazotolewa na Formal Banks
Na kikawaida hizi formal banks na financial institutions nyingine zipo chini ya The Banking and Financial institutions Act of 2006
Kuhusu utaratibu wa uanzishwaji tofauti ipo Banks zinakua licensed na BOT na minimum capital requirement lazima ifikiwe ambayo currently ni 16bill kama sikosei
Utofauti wake na Hizo M-pesa ni kwamba zenyewe haziwi registered na BOT na wala cyo kazi ya BOT Kuzi simamia kwa mujibu wa sheria tajwa hapo juu
NB: msisahau octoba 25 kura zote UKAWA
 
LWENYI wewe ni mwanasheria? Una firm yako inayotoa huduma za sheria
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi ninavyofahamu ni kwamba e-money imeunganishwa na mitandao ya kibenki hivyo sheria inayozihusu banks iko pia kwa e-money. Kama kuna mwenye wazo tofauti lets share.
 
Back
Top Bottom