Sidhani kama tayari kuna sheria kuhusu hizo M-pesa na huduma nyingine za namna hyo ambazo ni Electronic commerce oriented labda kwa sheria ya sasa ya Cyber crime Act ya makamba na ccm yake
Ila kwa upande wa credit cards hizo ni part ya normal banking services zinazotolewa na Formal Banks
Na kikawaida hizi formal banks na financial institutions nyingine zipo chini ya The Banking and Financial institutions Act of 2006
Kuhusu utaratibu wa uanzishwaji tofauti ipo Banks zinakua licensed na BOT na minimum capital requirement lazima ifikiwe ambayo currently ni 16bill kama sikosei
Utofauti wake na Hizo M-pesa ni kwamba zenyewe haziwi registered na BOT na wala cyo kazi ya BOT Kuzi simamia kwa mujibu wa sheria tajwa hapo juu
NB: msisahau octoba 25 kura zote UKAWA
Kwa jinsi ninavyofahamu ni kwamba e-money imeunganishwa na mitandao ya kibenki hivyo sheria inayozihusu banks iko pia kwa e-money. Kama kuna mwenye wazo tofauti lets share.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.