Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

haya mambo yakukosea halafu ukhamishw utafioili nchi haina wasomi wengine mimi siipendi watu wapo na vyeti vyao halafuwewe unavurunda unahamishwa ujingatu.
magufuli hakupenda huu ujinga ila saw kwakuwa walimuwahi.
 
Tizama ndugu huu mchezo wa kuteua au kupangiwa kazi ulikufa kipindi cha Mkapa lakini JK akaurudisha na kumstaafisha yule mzee jina lake refu linaishia na nyeto. Kila kazi hata ya uwaziri inatakiwa mtu aombe afanyiwe interview alfu aajiriwe kama Kenya lakini hii ya kuteua angalia mabalozi walioteuliwa na sifa zao balozi wa Italy anapelekwa Muislamu sijui Vatican ataendaje huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…