Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

Hajasema anatumia Sheria Ila anatumia discretion aliyonayo by the power endowed to her.

Ni Yule mwenye madaraka ya kufanya jambo fulani akaamua tu kutumia busara ya mfalme ambayo haikuwa imeandikwa popote na kufanya maamuzi fulani.

Sasa mnataka awe Kama Magufuli fukuzafukuza tu Kama nchi ya vichaa? Kila siku ukiangalia TV ni unakutana na watu wanafoka tu !!!!!

Mtu mzima hafokewi bana ymtuwe wastaarabu, na kufukuzana kwa kila kitu mengine ni mtu amepitiwa tu unakuta jambo dogo labda kasahau file lipo sehemu gani ndio mfukuzane?

Kila binadamu ana mapungufu ndio maana unapewa second chance ili tuone kama haikuwa tabia yako hautajirudiarudia ila Kama ndio yako tutajua tu na ndio maana Rais akasema atakuonya Mara tatu na akiona bado bado atakuhamisha hapo sababu anaamini yawezekana hapo haupawezi Ila unaweza kwingine.

Unaweza kumpa mtu uwaziri kumbe yeye anafaa kuwa mkuu wa wilaya. Unaweza kumpa mtu ukurugenzi wa halmashauri kumbe yeye anafaa kuwa bwana shamba wa wilaya. So no kujua kwamba hakuna mtu ambaye ni useless.

Sasa tatizo baadhi mmezoea kukimbizana Kama mbuzi ndio mnaona huo ndio utendaji wa kazi, kazini hatukimbizani Kama kuruta maana hata kuruta anakimbizwa Ila akishafuzu anakuwa askari sio wa kuburuzwa Tena maana ni ofisa anaheshimika sasa.

Tusipende kuburuzana maofisini.
haya mambo yakukosea halafu ukhamishw utafioili nchi haina wasomi wengine mimi siipendi watu wapo na vyeti vyao halafuwewe unavurunda unahamishwa ujingatu.
magufuli hakupenda huu ujinga ila saw kwakuwa walimuwahi.
 
Hajasema anatumia Sheria Ila anatumia discretion aliyonayo by the power endowed to her.

Ni Yule mwenye madaraka ya kufanya jambo fulani akaamua tu kutumia busara ya mfalme ambayo haikuwa imeandikwa popote na kufanya maamuzi fulani.

Sasa mnataka awe Kama Magufuli fukuzafukuza tu Kama nchi ya vichaa? Kila siku ukiangalia TV ni unakutana na watu wanafoka tu !!!!!

Mtu mzima hafokewi bana ymtuwe wastaarabu, na kufukuzana kwa kila kitu mengine ni mtu amepitiwa tu unakuta jambo dogo labda kasahau file lipo sehemu gani ndio mfukuzane?

Kila binadamu ana mapungufu ndio maana unapewa second chance ili tuone kama haikuwa tabia yako hautajirudiarudia ila Kama ndio yako tutajua tu na ndio maana Rais akasema atakuonya Mara tatu na akiona bado bado atakuhamisha hapo sababu anaamini yawezekana hapo haupawezi Ila unaweza kwingine.

Unaweza kumpa mtu uwaziri kumbe yeye anafaa kuwa mkuu wa wilaya. Unaweza kumpa mtu ukurugenzi wa halmashauri kumbe yeye anafaa kuwa bwana shamba wa wilaya. So no kujua kwamba hakuna mtu ambaye ni useless.

Sasa tatizo baadhi mmezoea kukimbizana Kama mbuzi ndio mnaona huo ndio utendaji wa kazi, kazini hatukimbizani Kama kuruta maana hata kuruta anakimbizwa Ila akishafuzu anakuwa askari sio wa kuburuzwa Tena maana ni ofisa anaheshimika sasa.

Tusipende kuburuzana maofisini.
Tizama ndugu huu mchezo wa kuteua au kupangiwa kazi ulikufa kipindi cha Mkapa lakini JK akaurudisha na kumstaafisha yule mzee jina lake refu linaishia na nyeto. Kila kazi hata ya uwaziri inatakiwa mtu aombe afanyiwe interview alfu aajiriwe kama Kenya lakini hii ya kuteua angalia mabalozi walioteuliwa na sifa zao balozi wa Italy anapelekwa Muislamu sijui Vatican ataendaje huko
 
Back
Top Bottom