Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.

Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
 
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo wanapofumaniwa, Je kwa sheria za hapa kwetu jambi hili linaruhusiwa ?

Sasa tufanye umem
Ni mwizi wa mke wa mtu lazima ashushiwe kipigo kama wezi wengine.

Kumbuka umemtolea bride price.

Hata sheria hairuhusu kumpiga mwizi wa mali.
 
Ni mwizi wa mke wa mtu lazima ashushiwe kipigo kama wezi wengine.

Kumbuka umemtolea briedprice.

Hata sheria hairuhusu kumpiga mwizi wa mali.
Hapana. Hairuhusiwi.

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, inaweka wazi kuwa unachopaswa kudai ni Fidia.

Ukimpiga na kumuua, utawajibishwa kwa sheria za mauaji. Ukimfanyia ufirauni, utashtakiwa na kufungwa maisha.

Achana naye. Dai fidia, toa talaka. Songa mbele.
 
Sheria uchelewesha adhabu. Sheria haina uwezo wa kuishape jamii.
Hata mkipasuliwa speaker ni haki yenu, makahaba wapo KWA ajili ya wazinzi SAsa wake za watu wa nini?. Unakuta dume pumbavu linaenda kulala hadi kwenye kitanda cha mwanaume mwenzake,likipasuliwa speaker uanza kulia hovyo,
 
Back
Top Bottom