sheria inasema kuhusu hili swala?

sheria inasema kuhusu hili swala?

businezz_oligarch

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
145
Reaction score
35
wanasheria naombeni mnisaidie katika hili,kwa mfano bank inamdai mtu,na kama taratibu zote zimefanyika za kumpa mteja barua zote za kumkumbusha alipe,lakini mpaka siku ya kufilisiwa inafika hajalipa,siku ya tukio la kufilisi mteja anakataa kufungua mlango ili assets zake alizoweka zichukuliwe,bank inasimama wapi kisheria katika swala la kuvunja mlango mbele za witness mfano viongozi wa serikali za mtaa?? Sheria inaruhusu hilo swala au??
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Kwanza elewa hakuna mtu au kampuni(mfn Bank) mwenye mamlaka ya kuvunja au kuingia katika makazi au nyumba ya mtu pasipo order ya mahakama. Kwahiyo kuna ataratibu za kimahakama zinatakiwa zifatwe ili kurecover huo mkopo kabla ya kukimbilia kuvamia nyumba ya mtu, lengo la mkopo sio kuchukua mali ya mtu, nyumba ipo pale kama security tu na kwa wataalamu wa sheria za mikopo au Mortgage watakua wanaujua huu msemo wa kisheria whatever becomes a Mortgage will always be Mortgage habari za kuchukuliana nyumba ni wizi tu, ukiona wanakuzengua sana mchukue wife mwambie apende juu ya bati.
 
Back
Top Bottom