businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
wanasheria naombeni mnisaidie katika hili,kwa mfano bank inamdai mtu,na kama taratibu zote zimefanyika za kumpa mteja barua zote za kumkumbusha alipe,lakini mpaka siku ya kufilisiwa inafika hajalipa,siku ya tukio la kufilisi mteja anakataa kufungua mlango ili assets zake alizoweka zichukuliwe,bank inasimama wapi kisheria katika swala la kuvunja mlango mbele za witness mfano viongozi wa serikali za mtaa?? Sheria inaruhusu hilo swala au??
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.