Sheria inasema nini kuhusu faragha za watu?

G-Funk

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
2,398
Reaction score
5,554
Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi.

Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
 
Mkuu hapo ni dume kwa dume au dume kwa jike?
 
Uzi mzuri ngoja tusikilize majibu ya wasomi, maana nna bucketlist ya sehem kadhaa
 
Ukifumaniwa wanachukua Sheria Mkononi.
Jihadhari naa Muombe Mungu akulinde na mazingira yanayoweza kusababisha Raia wajichukulie Sheria Mkononi.
 
Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi.

Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
Faragha ni haki iliyopo kikatiba katika nchi ya Tanzania, Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ibara ya 16 imetoa haki ya faragha kwa watu wote.

Jambo lakutambua nikuwa haki hii kama zilivyo haki zingine inaukomo. Ingawa MTU anayohaki ya faragha, hakihiyo haipaswi kuvunja haki yamwingine.

Kuhusu swala lako, hakuna kosa kujivinjali wewe na mwenzawako faragha, ikiwa kweli mlikuwa katika eneo sahihi kufanya hivyo. Kumbuka kufanyia mambo ya faragha eneo lisilo sahihi kufanya hivyo itapelekea kuvunja haki, sheria na taratibu za wengine.
 
Faragha gani unaingiliwa na Watu??? Kama gest unafunga mlango...chumbani kwako hawezi ingia mtu mwingine labda ufumaniwe.. Kama upo kwa mwanamke hapo sio FARAGHA!!
 
Acheni kufanya mapenzi kwenye magari... unaona sasa mmeonwa...
Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?

Kosa liko wapi hapo na sheria ipi inayokataza mie nisigongane na mpenzi wangu popote pale nikiwa nimeegesha gari na hali ni tulivu?
 
Ukifumaniwa wanachukua Sheria Mkononi.
Jihadhari naa Muombe Mungu akulinde na mazingira yanayoweza kusababisha Raia wajichukulie Sheria Mkononi.
Mkuu endapo niliye naye si mpenzi wa mtu ama mke wa mtu. Madhali tuko maeneo ya ufukweni usiku ambako watu walikwisha ondoka anatokea mtu kuja kutuingilia katika starehe zetu shida ni nini?
 
Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?

Kosa liko wapi hapo na sheria ipi inayokataza mie nisigongane na mpenzi wangu popote pale nikiwa nimeegesha gari na hali ni tulivu?
Maadili hayaruhusu...

Mnakua hamna tofauti na watu wanacheza picha la ngono...
 
Kwenye gari?Hapo kuna faragha kweli wakati gari litakuwa linanesa kimtindo na watu wanaliona?
Mkuu gari ipo mahali tulivu sasa anatokea kihere here kuja kugonga kioo eti mpo chini ya ulinzi kwanini mnafanya mapenzi ndani ya gari! Huu ni ushamba uliopitiliza
 
Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?

Kosa liko wapi hapo na sheria ipi inayokataza mie nisigongane na mpenzi wangu popote pale nikiwa nimeegesha gari na hali ni tulivu?
Gari sio kwa ajili ya zinaaa...!!
 
Jamaa kaomba msimamo wa kisheria nyie mnaleta mambo ya maadili. Mpaka anakuja kusex kwenye gari maana yake maadili yake hayatambui hilo kama ni kosa. Weka maadili ndio ila leta msimamo wa kisheria. Je ni kosa? Adhabu yake ni nini
 
Bora unisaidie mkuu
 
Nibebee mkaa au malaya hio inakuwa sio swala lako! Tuacheni mambo ya kishamba jamani
Mshamba ni wew unaedhani unaweza park gari pembeni ya barabara au beach ukamgonga malaya uliemnunua...!! Kama una hela ya gari huna ya lodge kopa maana huwezi mpeleka kwako malaya uliemnunua...[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom