Mkuu hapo ni dume kwa dume au dume kwa jike?Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi.
Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
Faragha ni haki iliyopo kikatiba katika nchi ya Tanzania, Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ibara ya 16 imetoa haki ya faragha kwa watu wote.Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi.
Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?Acheni kufanya mapenzi kwenye magari... unaona sasa mmeonwa...
Mkuu endapo niliye naye si mpenzi wa mtu ama mke wa mtu. Madhali tuko maeneo ya ufukweni usiku ambako watu walikwisha ondoka anatokea mtu kuja kutuingilia katika starehe zetu shida ni nini?Ukifumaniwa wanachukua Sheria Mkononi.
Jihadhari naa Muombe Mungu akulinde na mazingira yanayoweza kusababisha Raia wajichukulie Sheria Mkononi.
Maadili hayaruhusu...Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?
Kosa liko wapi hapo na sheria ipi inayokataza mie nisigongane na mpenzi wangu popote pale nikiwa nimeegesha gari na hali ni tulivu?
Mkuu gari ipo mahali tulivu sasa anatokea kihere here kuja kugonga kioo eti mpo chini ya ulinzi kwanini mnafanya mapenzi ndani ya gari! Huu ni ushamba uliopitilizaKwenye gari?Hapo kuna faragha kweli wakati gari litakuwa linanesa kimtindo na watu wanaliona?
Mkuu gari ipo mahali tulivu sasa anatokea kihere here kuja kugonga kioo eti mpo chini ya ulinzi kwanini mnafanya mapenzi ndani ya gari! Huu ni ushamba uliopitiliza
Gari sio kwa ajili ya zinaaa...!!Mkuu kwani gari langu si nimenunua mwenyewe kwa pesa yangu.Sasa tatizo ni nini kama nitajivinjari na mpenzi wangu?
Kosa liko wapi hapo na sheria ipi inayokataza mie nisigongane na mpenzi wangu popote pale nikiwa nimeegesha gari na hali ni tulivu?
Bora unisaidie mkuuJamaa kaomba msimamo wa kisheria nyie mnaleta mambo ya maadili. Mpaka anakuja kusex kwenye gari maana yake maadili yake hayatambui hilo kama ni kosa. Weka maadili ndio ila leta msimamo wa kisheria. Je ni kosa? Adhabu yake ni nini
Mshamba ni wew unaedhani unaweza park gari pembeni ya barabara au beach ukamgonga malaya uliemnunua...!! Kama una hela ya gari huna ya lodge kopa maana huwezi mpeleka kwako malaya uliemnunua...[emoji3][emoji3][emoji3]Nibebee mkaa au malaya hio inakuwa sio swala lako! Tuacheni mambo ya kishamba jamani