Mara nyingi Hospitali huwa zinakeep siri ila jambo likifika kwa Mortuary attendant siri hufichukaKwa mfano ikitokea nimelazwa Kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka Kudai haki yangu ?...
Ya wanasiasa waachie wanasiasa. Hapa tunazungumzia taaluma.Yes kuna sheria kuwa mgonjwa na ugonjwa wake ni siri na Doctor wake,ILA nimeangalia mada zako zote zilizopita sijaona ulipoandika kuulizia why aliyekuwa RC wa Dar (mr.makonda)alipotamka hadharani kuhusu kuugua kwa KUB kipindi hicho Mr.Mbowe (eti alikuwa amepata civid 19)hii ni Karma subiri ikuingie.
Tuanzie HapoSiri za nani zimetolewa
International Law kwa upande wa nchi gani?Kwa mfano ikitokea nimelazwa Kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka Kudai haki yangu?
Na international law inasemaje?
Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu.Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
Tulikubaliana Hakuna Sheria Inavuka MpakaNairobi hosp nayo ipo chini ya CCM?
Sasa mbona anaropoka?Tulikubaliana Hakuna Sheria Inavuka Mpaka
Always try to read to understand sio kuuliza maswali,ukisoma vema nimeanza na hilo la kitaaluma nami nimeingiza politics baada ya mtoa hoja mkuu kuingiza politics alipomalizia hoja yakeYa wanasiasa waachie wanasiasa. Hapa tunazungumzia taaluma.
Kama inatoa taarifa za mgonjwa bila idhini ya mgonjwa au ndugu zake ,ni hospitali ya hovyo na wanaoingoza ni watu wa hovyo kuwahi kutokea.Nairobi hosp nayo ipo chini ya CCM?
Hivi nyerere alipoenda UK hatukupewa taarifa?Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?
Na international law inasemaje?
Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
Kama tulipewa taarifa ,taarifa hiyo ilifuata process siyo kikundi cha wahuni kutoa taarifa bila utaratibu.Hivi nyerere alipoenda UK hatukupewa taarifa?
Kwani mgonjwa gani taarifa zake zimevujishwa na hospitali, Raila Amollo Odinga?Kama inatoa taarifa za mgonjwa bila idhini ya mgonjwa au ndugu zake ,ni hospitali ya hovyo na wanaoingoza ni watu wa hovyo kuwahi kutokea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama tulipewa taarifa ,taarifa hiyo ilifuata process siyo kikundi cha wahuni kutoa taarifa bila utaratibu.