Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?

Na international law inasemaje?

Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha tabia hovyo za watu wa hovyo kutoa siri za mgonjwa bila idhini ya mhusika au ndugu zake.
Hiyo ni tort ( professional misconduct)
 
Back
Top Bottom