Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Hio ni trespass to property, wewe ndio inabidi umshtaki yeye sio yeye kukushtaki wewePale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba(uwanja wangu ) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa je mimi niking'owa nitakuwa na kesi?
Mkuu kwa busara na hekima Yaache mpaka yakomae umwambie avune tu mahindi yake hutapungukiwa na kitu.kuharibu chakula sio poa maana wahitaji ni wengi na kupitia wewe kwenye hilo eneo lako lililooteshwa mahindi kimakosa huenda ukasaidia wahitaji wa chakula eidha ktk familia hiyo ya muoteshaji ama kwa mtu yyote aishie ndani ya familia hiyo ambae atanufaika na mavuno hayo.Pili tambua tunaishi once hivyo upendo ni kitu bora na pia tambua kama aliefanya hivyo ni jirani yako then huyo ni ndugu yako namba moja ktk hilo eneo.Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba(uwanja wangu ) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa je mimi niking'owa nitakuwa na kesi?