Lakini hapo sehemu ya Leseni ya vyombo binafsi B inasema vyombo vya moto. Gari/pikipiki ya umeme sio moto ni umeme ule. Ndio nikataka kujua, kisheria hapo imekaaje? Ukikamatwa si utasema kuwa chombo changu binafsi hakitumii moto na leseni B ni kwa vyombo vya moto?IWE PIKIPIKI AU GARI LA UMEME LAZIMA LESENI ILEILE INAYOTOLEWA NA TRA KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI...DARAJA A, B, D na kadhalika
Mamlaka ya Mapato Tanzania - Makundi ya leseni za udereva ni yapi?
Hebu twende sawa, unajua maana ya chombo cha moto? umeme hauwezi kusababisha moto?Lakini hapo sehemu ya Leseni ya vyombo binafsi B inasema vyombo vya moto. Gari/pikipiki ya umeme sio moto ni umeme ule. Ndio nikataka kujua, kisheria hapo imekaaje? Ukikamatwa si utasema kuwa chombo changu binafsi hakitumii moto na leseni B ni kwa vyombo vya moto?
Chombo cha moto ni kile cha internal combustion engine, ndivyo ninavyoelewa mimi. Ni chombo ambacho kinatoa moto katika ufanyaji kazi wake. Cha umeme hakitoi moto kwenye ufanyaji kazi wake na wala hakuna moto kabisa.hebu twende sawa, unajua maana ya chombo cha moto? umeme hauwezi kusababisha moto?
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA SHERIA ZIHUISHWE KUHUSU VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOTUMIA UMEME?Chombo cha moto ni kile cha internal combustion engine, ndivyo ninavyoelewa mimi. Ni chombo ambacho kinatoa moto katika ufanyaji kazi wake. Cha umeme hakitoi moto kwenye ufanyaji kazi wake na wala hakuna moto kabisa. Mengine ni ajali tu. Pia kuna baskeli za umeme ambazo huhitaji leseni wala huulizwi chochote, ila kuna chombo kimoja cha zamani kinaitwa ciao Zanzibar vilikuwepo vingi sana, kilikuwa cha moto na lazima uwe na leseni, kipo vile vile kama baskeli za chaji.
Honda nimemaanisha pikipiki. Tushazoea kuziita honda tu sie 😀Hapo kwenye HONDA umemaanisha jina la kampuni au aina ya usafiri?!
Kilichobadilika ni chanzo cha nishati tu ila moto upo pale pale.... Maana hicho kifaa kinatumia motor.......
Au ulijua neno "kifaa cha moto" lina maanisha kifaa cha moto kwa maana ya fire....?! Kifaa cha moto wanamaanisha kifaa kinachosukumwa kwa nguvu ya mota yaani mashine..... So kama unatumia mikono kama chanzo cha msukumo au kunyonga kama baiskeli unavyonyonga na wewe ndie unakuwa ndio nguvu ya msukumo.
Kuna baadhi ya nchi, kuendesha chombo kinachotumia umeme huhitaji leseni. Ndio maana nikataka kujua hapa kwetu Tanzania sheria inasemaje. Lakini nilivoona imezungumzia vyombo vya Moto, basi mi nahisi kuna haja ya hii sheria kufanyiwa marekebisho ili mwenye chombo cha umeme kama gari au pikipiki nae awe na leseni.KWA HIYO UNATAKA KUSEMA SHERIA ZIHUISHWE KUHUSU VYOMBO VYA USAFIRI VINAVYOTUMIA UMEME?
Moto vs MotaHapo kwenye HONDA umemaanisha jina la kampuni au aina ya usafiri?!
Kilichobadilika ni chanzo cha nishati tu ila moto upo pale pale.... Maana hicho kifaa kinatumia motor...
Umeme Ni baridi?bongo tumejaa NgumbaruLakini hapo sehemu ya Leseni ya vyombo binafsi B inasema vyombo vya moto. Gari/pikipiki ya umeme sio moto ni umeme ule. Ndio nikataka kujua, kisheria hapo imekaaje? Ukikamatwa si utasema kuwa chombo changu binafsi hakitumii moto na leseni B ni kwa vyombo vya moto?
Umeme sio MOTO.Umeme Ni baridi?bongo tumejaa Ngumbaru
Mzee kuna mambo yana create loop holes kwenye sheria. Kuna nchi huhitaji leseni kuendesha chombo cha umeme, hii wamefanya kwa sababu ya ku encourage watu kuanza kuachana na vyombo vya mafuta.Mleta mada anaukuza kitu cha msingi ila nadhani ameshindwa kuweka vizuri.
Kuna zile pikipiki za kuchaji(scooters) mfano Linkall. Hizi zinatumiwa nila leseni ya udereva wala bima.
Inakuwa kama baiskeli tu ukinunua unatembea haihitaji usajiri wala leseni.