Sheria inasemaje kuhusu NDOA hivi kuna kuachana jamani?

sasa kwanini iwe haki ya yule aliyachuma mwenyewe huoni hapo kuna dhuruma kwani waliishi pamoja kama mke na mume walishirikiana kwa kila kitu iweje iwe hivyo huo si uonevu wa kijinsia na zile zawadi ambazo walipata kwenye harusi nazo zinakuwaje,

kitu kingine kama mtu alikuwa na shamba, kiwanja kabla ya ndoa na kama alivyoingia kwenye ndoa bado akawa navyo je watagawana navyo hivyo vitu ? pls nisaidie hapa maana sijaelewa kabisa
Kuachana kupo hila inategemea unatumia njia hipi kutafuta kuachnana, kama unatumia njia ya kwenda kwa padri/mchungaji sahau kuhusu kuachna maana hawa hawakubali kuachana na wakotayari kutumia miaka hata miwili kutafuta suluhu ili mradi ndoa isivunjwe.

Lakini kama utatumia njia ya serikali hasa kwenye mabaraza ya usuluhishi na ikaonekana hiyo ndoa imashindikana kurudishwa basi mnaachanishwa kabisa, lakini mpaka ithibitike imeshindikana kusuluhisha na kuna sababu za msingi za kuvunja ndoa.

Na kuhusu mali mlizo chuma pamoja lazima mtagawana, lakini kama hamkuchuma pamoja hamtogawana bali itabaki kuwa haki ya yule aliyechuma.
 
Mtu huhitaji kuwa hata na sababu ... Unachohitaji kusema kwenye petition yako ni kwamba ndoa yenu ipo irretrievably broken au mna irreconcilable differences
"Irretrievably broken" na "irreconcilable differences" hizo tayari ni sababu.

Ukisema huhitaji sababu ni kwamba unaenda mbele ya chombo husika unasema nataka kuvunja hii ndoa. Hakuna maswali wala maelezo, "nimesema nataka kuvunja hii ndoa," period. Sasa sijui wanao huo utaratibu huko Ulaya na Marekani?

na kama respondent hana pingamizi, ndoa inakuwa dissolved.
Na kama analo pingamizi je? Ndoa haiwi dissolved, sio?

Linaanza timbwili la kesi ambapo itabidi unyooshe maelezo na utoe sababu na ulishawishi jopo la wazee wa baraza. Au iko vipi?
 
"Irretrievably broken" na "irreconcilable differences" hizo tayari ni sababu.

Ukisema huhitaji sababu ni kwamba unaenda mbele ya chombo husika unasema nataka kuvunja hii ndoa. Hakuna maswali wala maelezo, "nimesema nataka kuvunja hii ndoa," period. Sasa sijui wanao huo utaratibu huko Ulaya na Marekani?

Na kama analo pingamizi je? Ndoa haiwi dissolved, sio?

Linaanza timbwili la kesi ambapo itabidi unyooshe maelezo na utoe sababu na ulishawishi jopo la wazee wa baraza. Au iko vipi?

Mtu huhitaji kuwa hata na sababu (kama ugoni au kutendewa mabaya).

Mbona hicho kilichopo kwenye mabano hukukinukuu?
 
you see, kwa miaki hii,times have changed unlike zamani traditions na customs zetu ndio zilikuwa zinatujenga ila kwa sababu they we not enough,laws were made. when it comes to marriage, ndio kibiblia kutengana ni hadi kufa kwenu, ila there are circumstances which make it impossible for a marriage to subsist, hence the given grounds of divorce under the Law of Marriage Act of 1971. Pia,you should take note kwamba, Mahakama haikubaliani na ndoa kuvunjika kirahisi tu kwa sababu ndoa ni makubaliano kati ya nyie wanandoa, kama mkataba wa kawaida sio rahisi kuuvunja sana sana huu ambao umeingizwa kidini,kuna sababu ya kukubaliana muoane kwa hiyo ndio maana Sheria inaeleza kwamba, kabla ya kwenda Mahakamani kuomba talaka lazima uende Baraza la Usuluhishi linalotambulika kisheria,ikishindikana mnapewa form inayoruhusu kwenda Mahakamani, ila haiishi hapo, Mahakama lazima ijiridhishe kwamba ndoa kati ya nyie wawili imefika kikomo kabisa na hamuwezi kukaa pamoja tena then divorce will be granted, if not mtu anaweza kupewa decree ya judicial separation wasikae pamoja,ili wapate mda wa kuona kama decision mmoja wao anaitaka inaweza ikabadilika.

Kuhusu mali mlizochuna wote,inategemeana na mchango wa kila mmoja kati yenu, hata kama ni mama wa nyumbani lazima kuna kitu umechangia, kwanzia kuwapikia mafundi chakula wakati wanajenga nyumba mmeo akiwa kazini na vinginevyo, Mahakama haiwezi kuacha mtu asipate haki yake. Hela pekee sio mchango tu.
 
Mimi napenda sana sheria za talaka kwenye baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani
Nikushukuru kwamba sasa tuko ukurasa mmoja, tunakubaliana kwamba hata huko Ulaya na Marekani nako unahitaji sababu. Sababu kama zipi ni detail muhimu, lakini mwisho wa siku kote Ulaya, Marekani, Tanzania, unahitaji sababu ya talaka!
 
Sasa mbona hukuinukuu sentensi yangu kwa ukamilifu wake? Hukuona kilichomo kwenye mabano au...?

Manake mimi niliandika hivi:
Mtu huhitaji kuwa hata na sababu (kama ugoni au kutendewa mabaya).

Wewe uliponinukuu hicho cha kwenye mabano ukakiacha na kufanya ionekane kana kwamba nimesema hakuna sababu kabisa.
 
nimekuelewa na umenigusa sana
you see, kwa miaki hii,times have changed unlike zamani traditions na customs zetu ndio zilikuwa zinatujenga ila kwa sababu they we not enough,laws were made. when it comes to marriage, ndio kibiblia kutengana ni hadi kufa kwenu, ila there are circumstances which make it impossible for a marriage to subsist, hence the given grounds of divorce under the Law of Marriage Act of 1971. Pia,you should take note kwamba, Mahakama haikubaliani na ndoa kuvunjika kirahisi tu kwa sababu ndoa ni makubaliano kati ya nyie wanandoa, kama mkataba wa kawaida sio rahisi kuuvunja sana sana huu ambao umeingizwa kidini,kuna sababu ya kukubaliana muoane kwa hiyo ndio maana Sheria inaeleza kwamba, kabla ya kwenda Mahakamani kuomba talaka lazima uende Baraza la Usuluhishi linalotambulika kisheria,ikishindikana mnapewa form inayoruhusu kwenda Mahakamani, ila haiishi hapo, Mahakama lazima ijiridhishe kwamba ndoa kati ya nyie wawili imefika kikomo kabisa na hamuwezi kukaa pamoja tena then divorce will be granted, if not mtu anaweza kupewa decree ya judicial separation wasikae pamoja,ili wapate mda wa kuona kama decision mmoja wao anaitaka inaweza ikabadilika.

Kuhusu mali mlizochuna wote,inategemeana na mchango wa kila mmoja kati yenu, hata kama ni mama wa nyumbani lazima kuna kitu umechangia, kwanzia kuwapikia mafundi chakula wakati wanajenga nyumba mmeo akiwa kazini na vinginevyo, Mahakama haiwezi kuacha mtu asipate haki yake. Hela pekee sio mchango tu.
 
lakini sio afrika ila kuna baadhi ya nchi za afrika ambazo wanawake wanaoa wanaume mfano India wanatoa posa wanawake je hilo walitambua wewe?
Nikushukuru kwamba sasa tuko ukurasa mmoja, tunakubaliana kwamba hata huko Ulaya na Marekani nako unahitaji sababu. Sababu kama zipi ni detail muhimu, lakini mwisho wa siku kote Ulaya, Marekani, Tanzania, unahitaji sababu ya talaka!
 
Habari mafriendy zangu

Mwenzenu bado niko gizani kuhusu jambo hili la sheria ya wanandoa, hiv kuna kifungu kinachosema kunakuachana kabisa na kutalakiana, na vipi kuhusu vitu mlivyochuma wote inakuwaje hapo?

Sisemi haya kwamba yamenpata la hasha nataka kujua uwazi zaidi kwani kwenye maandiko matakatifu
yamesema hakuna kuachana mpaka kifo kitokee kwa mmojawapo wa wanandoa? sasa hiyo talaka imekujaje?
na je kwanini kizazi cha sasa wanashindwa kuvumiliana kama wazazi wetu (mababu + mabibi) wanavyokaa
mwisho wa uzee wao? Kuna nini nyuma ya pazia kinachoendelea juu ya vijana wetu wa kisasa?
Au ndo ulimbukeni wa mapenzi? ulimbukeni wa maisha ya ndoa? hebu nijuzeni hapa marafiki.
Nionesheni vifungu vya sheria vinavyosema kuachana au kutalakiana kwa wanandoa

siku njema

cc: Mamndenyi, Mtambuzi, Paloma, watu8, Mentor, Bakulutu, Arushaone, Erickb52, Mr Rocky, Madame B, Heaven on earth, Passion Lady, Lady doctor, charminglady, Nicas Mtei, kiwatengu, YNNAH, cacico, Smile, Bujibuji, Asprin, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, jouneGwalu, Gwamahala, Bishanga, evenly salt, gfsonwin, Preta, Filipo, Mwita Maranya, mwaJ, marejesho, Ndetchia, The secretary, amu na marafiki wengine ambao kwa namna moja nimewasahau majina yao toeni ushauri hapa.
Inategemea na aina ya ndoa uliofunga kama inaruhusu kutalakiana ama hapana. Mahakama inauwezo wa kuwatenganisha (separation) wanandoa waliofunga kikristo na sio kutoa talaka ya kuachana kwani, kanisani waliapa kutoachana mpaka kufa.
Ndoa za kiislam inawezekana kupewa talaka sababu makubaliano yao yapo ivo, mahakama zinazosimamiwa na mashekhe kwenye swala la ndoa za kiislam, zinatoa talaka.
Mali ugawanywa sawa kwa sawa endapo itadhihirika kuwa wanandoa walichuma pamoja. Mfano uliolewa ukamkuta mumeo ana nyumba, siku ukiachwa au kutenganishwa na mumeo, hiyo nyumba haitakuhusu, vivo ivo, zawadi za send off za bibi harusi zitahesabika kama mali za bibi harusi tu kwani alipewa kabla ya kufunga ndoa.
Ndoa za sasa hazidumu kutokana na maadili mabovu waliyonayo vizazi vya sasa.
 
kipengele cha mwisho ulichoongea kimenigusa sana tena sana kwani ndoa za sasa hazina maadili na yamepunguaa kanbisa au kuporomoka,
Inategemea na aina ya ndoa uliofunga kama inaruhusu kutalakiana ama hapana. Mahakama inauwezo wa kuwatenganisha (separation) wanandoa waliofunga kikristo na sio kutoa talaka ya kuachana kwani, kanisani waliapa kutoachana mpaka kufa.
Ndoa za kiislam inawezekana kupewa talaka sababu makubaliano yao yapo ivo, mahakama zinazosimamiwa na mashekhe kwenye swala la ndoa za kiislam, zinatoa talaka.
Mali ugawanywa sawa kwa sawa endapo itadhihirika kuwa wanandoa walichuma pamoja. Mfano uliolewa ukamkuta mumeo ana nyumba, siku ukiachwa au kutenganishwa na mumeo, hiyo nyumba haitakuhusu, vivo ivo, zawadi za send off za bibi harusi zitahesabika kama mali za bibi harusi tu kwani alipewa kabla ya kufunga ndoa.
Ndoa za sasa hazidumu kutokana na maadili mabovu waliyonayo vizazi vya sasa.
 
lakini sio afrika ila kuna baadhi ya nchi za afrika ambazo wanawake wanaoa wanaume mfano India wanatoa posa wanawake je hilo walitambua wewe?
Duuuh... India haiko Afrika we dada!

Hukuona kilichomo kwenye mabano au...?
Kuna misingi ya uandishi ya Kiswahili, mabano yana maana yake na vituo na kila kitu. Ukiandika "huhitaji kuwa na sababu kama ugoni na kutendwa mabaya" ina maanisha unaweza kuhitaji sababu zingine lakini sio hizo mbili.

Ulichokiandika wewe,
"huhitaji kuwa na sababu (kama ugoni na kutendwa mabaya)" ni kwamba huhitaji sababu, halafu ndani ya mabano unatoa mifano ya sababu ambazo zingeweza kuhitajika lakini huhitaji sababu!

Sijui unanielewa? Unajua siku zile za shule hatukutendewa haki labisa kwenye Kiswahili, mtihani wa Taifa eti nusu ya watahiniwa tuna F naD za Kiswahili na nusu tuna A and B za Kifaransa!
 
Inategemea na aina ya ndoa uliofunga kama inaruhusu kutalakiana ama hapana. Mahakama inauwezo wa kuwatenganisha (separation) wanandoa waliofunga kikristo na sio kutoa talaka ya kuachana kwani, kanisani waliapa kutoachana mpaka kufa.
Ndoa za kiislam inawezekana kupewa talaka sababu makubaliano yao yapo ivo, mahakama zinazosimamiwa na mashekhe kwenye swala la ndoa za kiislam, zinatoa talaka.
Mali ugawanywa sawa kwa sawa endapo itadhihirika kuwa wanandoa walichuma pamoja. Mfano uliolewa ukamkuta mumeo ana nyumba, siku ukiachwa au kutenganishwa na mumeo, hiyo nyumba haitakuhusu, vivo ivo, zawadi za send off za bibi harusi zitahesabika kama mali za bibi harusi tu kwani alipewa kabla ya kufunga ndoa.
Ndoa za sasa hazidumu kutokana na maadili mabovu waliyonayo vizazi vya sasa.

Aksante. Ila hapo pa kuenganisha wanandoa mahakamani ndio divorce? Maana mahakama inahalalisha utoaji wa divorce, talaka.
 
Hapana my dear, kuna vitu viwili, separation na divorce ambavyo vyote hivo hutolewa mahakamani ila divorce inatolewa kwa aina ya ndoa ambayo inaruhusu kuachana mfano waislam wanaweza kupata divorce kwani sheria zao zinaruhusun lakini separation hutolewa kwa wakristo ambao mara nyingi ndoa zao ni hakuna kuachana mpaka kufa, as long as ndoa ilifungwa kanisani na padri/mchungaji, Jaj hana mamlaka ya kuingilia kuvunja kiapo hicho badala yake ana mamlaka ya kutenganisha wanandoa hao wasije wakauana bure bt ndoa ipo pale pale mpaka mmoja wao atakapokufa.
 
nameless girl aksante sana leo unantoa matongotongo ya macho mpendwa. Mie nilionaga dadangu kapewa kitu kinaitwa divorce decree kwa ndoa alofunga kanisani.... ndo mana nikawa sielewi na niliielewa kama divorce maana after years wanandoa wale kila mmoja kwa wakati wake alioa na kuolewa, tena mmoja alienda kanisani kabisa,..... kwa mara ya pili. (Ingawa sijui kama alisema kweli kuwa alikuwa na ndoa tayari). So na ndoa za serikali nazo divorce inatolewa na mahakama si ndio?
 
Last edited by a moderator:

ndio, ndoa za serikalini pia divorce hutolewa mahakamani, mara nyingi mikataba ya ndoa za serikalini inatoa option kwa wanandoa kama itakua ni ndoa ya watu wawili tu ama polygamy nk, mjini hapa best, sheria huwekwa kando na mambo yanaendelea ila in reality, haiwezekani kufunga ndoa mara mbili.
Nipe muda kidogo nitaku PM baadhi ya vifungu kwenye Marriage Act ambavyo vitakusaidia katika hii mada.
 
nami nahitaji hivyo vifungu unavyompa huyu kwani nami sijaelewa kabisa best

Back
Top Bottom