COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Habari wakuu.
Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi.
Je, yawezekana kufungua kesi mahakamani ya madai ya fidia ya kusababishiwa hasara za mali iliyokuwepo katika ardhi hiyo?
Je, ipo sheria ya kuwashitaki wafidia kulipa fidia kwa upotevu wa mali na rasilimali zilizokuwepo kipindi wanafanya uthamini?
Natanguliza shukran.