NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Kakupiga huyo MsomiNimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
Shukrani kwa kutufungua ufahamu kwa hiliKwanza fahamu mfungwa hafii jela na hakuna taarifa utapewa kwamba mfumgwa kafia jela.
Akifariki akiwa jela, anapelekwa hospitali na taarifa itaandikwa kafia hospitali akiwa anapatiwa matibabu.
Hivyo ndugu zake wanapewa taarifa, ndugu yako kafariki hospitali, waanze mchakato wa kumuhifadhi
Mleta mada anahitaji majibu sio labda, hapo hujamsaidia kitu.Labda wanaogopa itakuwa escape plan,ndo mana wanaamua kuzika wenyewe.
Ama bado Yuko chini ya magereza sio huru.ndio maana wanaratibu Kila kitu chini Yao.au labda ndugu hawapatikani,mawasiliano hayafikiki tena.ukute ana miaka kumi hakuna anaemtembelea
😂😂😂 Nimechekaa kama chizi hapaaNimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
Ndugu wengi huwa hawaendi kwahio wafungwa huzikwa na magerezaHuku mtaani sijawahi kuona msiba halafu tukaambiwa marehemu alikuwa mfungwa!!
Stori za vijiweni wengine utawakuta wamekaa wanasema mfungwa anazikwa na pinguNa magereza wakishakuzika kaburi lako wanaweka mnyororo kuonyesha bado hujamaliza kifungo
Atazikwa tu hakuna cha zaidi ama nasema uwongoSamahani kwani mtu anapokuwa depo JKT au JWT akifa Sheria pia Huwa inasemaje
Pumbavu.Mkuu wa kitengo GENTAMYCINE
Bado unavuta Au umeachaPumbavu.
Pumbavu.Bado unavuta Au umeacha
TafsiriKakupiga huyo Msomi
34. Disposal of bodies of deceased prisoners
(1)When a prisoner dies either in prison or in hospital the officer-in-charge shall take all reasonable steps to inform the relatives of the deceased prisoner of the death and, after the medical examination of the body by the medical officer, a relative shall be allowed to collect the body for burial in accordance with the rites of the religious denomination to which the prisoner belonged.(2)If a deceased prisoner has no relatives, or if a relative of the deceased prisoner does not collect the body within a reasonable time, the body shall be disposed of in such manner as the Commissioner may determine.
Duh🥺🥺🥺Nimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
Tena ndiyo hutokea mara nyingi.Kama akifia gerezani hawawezi kughushi kwamba kafia hospital?