Sheria inasemaje mfungwa anapofia jela?

Sheria inasemaje mfungwa anapofia jela?

Nimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
 
Kakupiga huyo Msomi

34. Disposal of bodies of deceased prisoners​

(1)When a prisoner dies either in prison or in hospital the officer-in-charge shall take all reasonable steps to inform the relatives of the deceased prisoner of the death and, after the medical examination of the body by the medical officer, a relative shall be allowed to collect the body for burial in accordance with the rites of the religious denomination to which the prisoner belonged.(2)If a deceased prisoner has no relatives, or if a relative of the deceased prisoner does not collect the body within a reasonable time, the body shall be disposed of in such manner as the Commissioner may determine.
 
Kwanza fahamu mfungwa hafii jela na hakuna taarifa utapewa kwamba mfumgwa kafia jela.

Akifariki akiwa jela, anapelekwa hospitali na taarifa itaandikwa kafia hospitali akiwa anapatiwa matibabu.

Hivyo ndugu zake wanapewa taarifa, ndugu yako kafariki hospitali, waanze mchakato wa kumuhifadhi
Shukrani kwa kutufungua ufahamu kwa hili
 
Labda wanaogopa itakuwa escape plan,ndo mana wanaamua kuzika wenyewe.
Ama bado Yuko chini ya magereza sio huru.ndio maana wanaratibu Kila kitu chini Yao.au labda ndugu hawapatikani,mawasiliano hayafikiki tena.ukute ana miaka kumi hakuna anaemtembelea
Mleta mada anahitaji majibu sio labda, hapo hujamsaidia kitu.
 
Nimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
😂😂😂 Nimechekaa kama chizi hapaa
 
Kakupiga huyo Msomi

34. Disposal of bodies of deceased prisoners​

(1)When a prisoner dies either in prison or in hospital the officer-in-charge shall take all reasonable steps to inform the relatives of the deceased prisoner of the death and, after the medical examination of the body by the medical officer, a relative shall be allowed to collect the body for burial in accordance with the rites of the religious denomination to which the prisoner belonged.(2)If a deceased prisoner has no relatives, or if a relative of the deceased prisoner does not collect the body within a reasonable time, the body shall be disposed of in such manner as the Commissioner may determine.
Tafsiri

34. Utupaji/uzikaji wa miili ya wafungwa waliofariki
(1) Mfungwa anapofariki akiwa gerezani au hospitalini, afisa mfawidhi atachukua hatua zote zinazofaa kuwajulisha ndugu wa mfungwa aliyefariki juu ya kifo hicho na, baada ya uchunguzi wa kimatibabu wa mwili huo na afisa tabibu, ndugu ataruhusiwa kuuchukua mwili kwa ajili ya mazishi kwa mujibu wa taratibu za dhehebu la kidini ambalo mfungwa huyo alikuwa ni wa kwao. mfungwa hatakusanya mwili ndani ya muda mwafaka, mwili huo utazikwa kwa namna ambayo Kamishna atakavyoamua.
 
Nimewasiliana na wakili msomi wa utopolo amesema mfungwa akifa kabla hajamaliza kifungo chake huwa hazikwi wala ndugu zake hawapewi taarifa hadi adhabu ya kifungo chake iishe.
Note:
Tunapeleka kesi 'CAS' kudai haki yetu dhidi ya Simba na Yusuph Kagoma.
Duh🥺🥺🥺
 
download.jpg

kapingu kanamhusu kwenye kaburi lake
 
Na mtambue kama ajamaliza kifungo chake,kaburi lake ninaaendelea kupigwa pingu mpaka amalize kifungo
 
Back
Top Bottom