Uchaguzi 2020 Sheria inasemaje Mgombea akikiuka ratiba ya kampeni?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda maeneo hayo pale wanapojisikia?
 
Kikubwa kusiwe na mgombea wa chama kingine siku hiyo na eneo hilo.
 
Pia wanaongeza muda zaidi kwenye kampeni ,wengine hadi saa moja usiku na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa,kwa wapinzani wakizidisha hata dakika moja wanafungiwa mfano mzuri ni mgombea wa chadema ubungo ambaye alizidisha dakika tano tu,,siku ya ijumaa mtaa wa mshikamano musoma mgombea wa ccm alihutubia kwa kupitiliza muda hadi 06:21pm,,japo kwa mikoa hii ya magharibi ni sawa jua linachelewa kuzama hali inaruhusu lakini sheria inakataza
 
Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda maeneo hayo pale wanapojisikia?
Ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…