kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Wagombea wa ccm kwa tiketi ya Urais na Ubunge wamekua wakienda kinyume na ratiba ya UCHAGUZI kwa kutokuwepo eneo la kampeni kwa siku tajwa. Je, kwa kufanya hivi wanavunja sheria au wanaweza kwenda maeneo hayo pale wanapojisikia?