Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc
Hakuna sheria wala si kosa kutembea na mke wa mtu hasa kama mmekutana njiani mkatembea wote kuelekea kanisani, hospital/zahanati, ofisini (kama unafanya kazi ofisi moja) n.k.
 
Hakuna sheria wala si kosa kutembea na mke wa mtu hasa kama mmekutana njiani mkatembea wote kuelekea kanisani, hospital/zahanati, ofisini (kama unafanya kazi ofisi moja) n.k.

best answer
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Nakumbuka kesi kama hii hapa kaisho. Aliyekamatwa alitaka kutoa laki mbili police wakalinga. Akashauriwa akubali mbele ya hakimu, alipokubali pikato akamtoza faini tsh.5000 tu yaani buku mkono.
 
Mke wa mtu sumu.....hapo tunamalizana kimjinimjini.

1. TAFUTA ACID ( sh. 50000)...mmwagie huyo jamaa. Ni pm kama utahitaji.

2. TAfuta bastora...sh.laki moja na nusu...ikiwa na risasi..sh. 200000. Ni pm kama utahitaji.

3. Tafuta washkaji wamteke huyo mwizi wako....kisha wampigie kwa tigo mpaka ashindwe kutembea. Kwa hapa Dar sh. 400000 tu..usafiri wako.

Kwa mikoani sh. 700000. Usafiri na malazi ya siku mbili juu yako. Ni pm kama utahitaji huduma hii.

4. Chukua picha ya mshkaji peleke kwa Mganga wa jadi. Chagua..awe zombi au afe. Mi naweza kukusaidia mtaalamu wa ukweli kabisa. Kitu kinafanyika dakika 0 na majibu yanaonekana ndani ya dakika 5. Unamtumia njiwa mpaka anapoishi....unaua familia nzima...yeye, mkewe na wanawe...mpaka house gero.

5. Mke wa Mtu sumu.......chukua sumu...ongea na jamaa wa sehemu ambao anapendelea kula chakula au kunywa bia.

Daa...ni pm....mbona swala simple tu.

Duu.. mkuu wewe ni nouwmah. Ofisi zenu zinapatikana wapi?
 
omba yasikukute,procedure zote unaweza kuzisahau ukajikuta una poteza mtu maisha
 
Hukumu hapo ni faini ya kushikwa ugoni hii hutozwa na local authority mi nnayo risit niliyopewa nilitozwa 40,000

Nimeamua kuwawekea risit sasa
 
Attachments

  • 1398294007355.jpg
    1398294007355.jpg
    48.1 KB · Views: 205
kutembea na mke wa mtu ni kosa kisheria na waweza kumshtaki Mgoni wako kwa ugoni (adultery), ikiwa adhabu yake ni fine tu kwa aliyetendewa na kama kuna athari zozote ziambatanazo na kutendo hicho.

Sheria yetu ya ndoa haijatoa adhabu kali kwa wagoni,zaidi ya petitioner atakapoomba kuvunjwa kwa ndoa,na hapo bado mlalamikaji atapaswa kutoa ushahidi kuonesha kuwa the marriage imepita kwenye board ya usuluhishi na kuwa is irreparable...!

*My take,the assessment of informal damages may cure the pain of the petitioner that that granted by the court.
 
Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:-

Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo.

#Refer case ya Nabii mwingira...etc
mkuu ushahidi wa ugoni unaweza kuwa upi mbali ya kuwashika redhanded? je TCRA wanaweza kutoa ushahidi wa ugoni kupitia simu, msg , whatsapp nk
 
Mke wa mtu sumu.....hapo tunamalizana kimjinimjini.

1. TAFUTA ACID ( sh. 50000)...mmwagie huyo jamaa. Ni pm kama utahitaji.

2. TAfuta bastora...sh.laki moja na nusu...ikiwa na risasi..sh. 200000. Ni pm kama utahitaji.

3. Tafuta washkaji wamteke huyo mwizi wako....kisha wampigie kwa tigo mpaka ashindwe kutembea. Kwa hapa Dar sh. 400000 tu..usafiri wako.

Kwa mikoani sh. 700000. Usafiri na malazi ya siku mbili juu yako. Ni pm kama utahitaji huduma hii.

4. Chukua picha ya mshkaji peleke kwa Mganga wa jadi. Chagua..awe zombi au afe. Mi naweza kukusaidia mtaalamu wa ukweli kabisa. Kitu kinafanyika dakika 0 na majibu yanaonekana ndani ya dakika 5. Unamtumia njiwa mpaka anapoishi....unaua familia nzima...yeye, mkewe na wanawe...mpaka house gero.

5. Mke wa Mtu sumu.......chukua sumu...ongea na jamaa wa sehemu ambao anapendelea kula chakula au kunywa bia.

Daa...ni pm....mbona swala simple tu.

duuuu kaz ipo
 
Back
Top Bottom