Hakuna sheria wala si kosa kutembea na mke wa mtu hasa kama mmekutana njiani mkatembea wote kuelekea kanisani, hospital/zahanati, ofisini (kama unafanya kazi ofisi moja) n.k.Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc