Sheria inasemaje, mtu kutembea na mke wa mtu?

Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc
Hakuna sheria wala si kosa kutembea na mke wa mtu hasa kama mmekutana njiani mkatembea wote kuelekea kanisani, hospital/zahanati, ofisini (kama unafanya kazi ofisi moja) n.k.
 
Hakuna sheria wala si kosa kutembea na mke wa mtu hasa kama mmekutana njiani mkatembea wote kuelekea kanisani, hospital/zahanati, ofisini (kama unafanya kazi ofisi moja) n.k.

best answer
 
Reactions: y-n
Nakumbuka kesi kama hii hapa kaisho. Aliyekamatwa alitaka kutoa laki mbili police wakalinga. Akashauriwa akubali mbele ya hakimu, alipokubali pikato akamtoza faini tsh.5000 tu yaani buku mkono.
 

Duu.. mkuu wewe ni nouwmah. Ofisi zenu zinapatikana wapi?
 
omba yasikukute,procedure zote unaweza kuzisahau ukajikuta una poteza mtu maisha
 
kutembea na mke wa mtu ni kosa kisheria na waweza kumshtaki Mgoni wako kwa ugoni (adultery), ikiwa adhabu yake ni fine tu kwa aliyetendewa na kama kuna athari zozote ziambatanazo na kutendo hicho.

Sheria yetu ya ndoa haijatoa adhabu kali kwa wagoni,zaidi ya petitioner atakapoomba kuvunjwa kwa ndoa,na hapo bado mlalamikaji atapaswa kutoa ushahidi kuonesha kuwa the marriage imepita kwenye board ya usuluhishi na kuwa is irreparable...!

*My take,the assessment of informal damages may cure the pain of the petitioner that that granted by the court.
 
Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:-

Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo.



#Refer case ya Nabii mwingira...etc
mkuu ushahidi wa ugoni unaweza kuwa upi mbali ya kuwashika redhanded? je TCRA wanaweza kutoa ushahidi wa ugoni kupitia simu, msg , whatsapp nk
 

duuuu kaz ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…