Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

Sheria inasemaje ukifanya maamuzi ya kuuza Mali bila mshirikisha mweza wako au familia

Ha ha kwenye ardhi ujue lazima kuna form lazima a sign kama spousal consent, same na yeye pia kama anamiliki...ukiuza bila consent yake hamna biashara
 
Mmesahau kuwa lazima wawe wameoana kisheria wanatambulika wanandoa sio wanaishi kama vimada..
 
Mmesahau kuwa lazima wawe wameoana kisheria wanatambulika wanandoa sio wanaishi kama vimada..
Kuna muda wa kuishi na mwanamke kama kimada, zidisha mwaka ama miezi 6 ni mke wako kama sijakosea
 
Kuna muda wa kuishi na mwanamke kama kimada, zidisha mwaka ama miezi 6 ni mke wako kama sijakosea
Kifungu namba 160 cha sheria ya ndoa kama sijakosea ni miaka miwili ila hii hutumika kwenye baadhi ya issues sio sanaa kwenye maswala ya Mali ya wanandoa hutegemeana na Mheshimiwa aliyepo mahakamani siku hiyo kama ni mwanamke atatumia hiyo sheria kuassume kama ni mke na mume
 
Waza sana sana kabla ujaoa! Is like giving 50% of everything; not only materials, everything!

Sikuwahi kujua unaweza ukaoa ukalala na mwanamke kitanda ki moja then ukawa na nyege zaidi ya kabla ujaoa!

Wanawake tabu sana kabisa!
Naked truth
 
Basi tu ni ustaarabu na Mambo mengine, dawa ya Mwanamke ni awe na mwenzake ili ajitahidi, nje ya hapo atakutesa sana!

Ninalo hili lakwangu hapa pembeni na hii baridi ya makambako linakoroma, ukiligusa fujo!

Tabu sana, ningekuwa bachela ningekuwa nimelala mwenyewe na saikolojia yangu haina shida, ila liko hapa na Hakuna msaada!

Anza kuuza Mali, linaenda mpaka kwa rais kulalamika!
[emoji3][emoji3] pole sana mkuu
 
Dah,kiukweli ndoa zina taabu Sana, mi pia nna mwezi wife kakasirika mzee sipewi mzigo,, hapa ndio unapokuja umuhimu wa mchepuko kmma'e
 
Dah,kiukweli ndoa zina taabu Sana, mi pia nna mwezi wife kakasirika mzee sipewi mzigo,, hapa ndio unapokuja umuhimu wa mchepuko kmma'e
Hawa wanawake tabu sana , ukiona anaingia kwenye mgomo jiongeze , wanaopikia kwenye mafiga wanafahamu kama chungu/ sufuria kisipokaa vizuri kwenye mafiga unatanguliza jembe dogo au jiwe bapa kufanya chungu/sufuria kikae sawa na upishi unaendelea.
 
Hiyo sasa ni kali.
Mzee alitumia mbinu za CC4
True story:

Kuna rafiki yangu Mama yake alistaafu, Baba yake alikuwa na umri wa Kama miaka 72 hivi wakati Mama yake anastaafu!

Akapewa Kama 160m! Sasa Mshua wa huyu jamaa akamfuata mwanaye; akamwambia oya, Mshawishi Mama yako ajenge Manyumba ya kupanga hizo hela ziishe maana atanisumbua sana akiwa na cash!

Dogo akaingia mzigoni, ka msawishi Mama kajenga manyumba ya kupanga mpaka yakaisha, then hela ikakata, dingi akasema sasa hapa tunaenda sawa!
 
Back
Top Bottom