kwa ninavyoelewa mimi kuna mwenendo tofauti wa mahakama hasa mahakama ya mwanzo ina mshitaki(mlamikaji)dhidi ya mshitakiwa kwahiyo basi mlalamikaji ndio mwenye kuthibitisha bila kuacha shaka lolote(burden of prove) hivyo anaweza kuendea na kesi au kufuta. Hiyo ni tofauti na mahakama za hakimu mkazi au mahakama kuu kwani huku ni republic dhidi ya mstakiwa hivyo basi kwani huku ni lazima republic i prove burdenMtu anapokuwa na kesi ya jinai mahakamani na anayemshitaki akaandika barua kwa hakimu (mahakamani) kuwa hana mpango wa kuendelea na kesi kwa maana wao wenyewe wamesuluhishana hivyo hakimu hamuache huru mshitakiwa, na kwa kuwa mshitakiwa hakwenda mahakamani tangu barua hiyo ipelekwe mahakamani kwa sababu muhimu ila mdhamini anahudhuria mahakamani zaidi ya miezi 6?
Je kesi inaweza kufutwa pasipo mshitakiwa?
Je mdhamini atatakiwa kufanya nini ili kesi ifutwe?