Ilo goli la dhahabu ndio lilikuwaje?Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu ambayo iliondolewa, nakumbuka katika fainali za Kombe la dunia mwaka 2002, Senegal anamtoa Sweden kwa Goli la dhahabu,,
Je unaikumbuka Sheria ipi ya soka ambayo unatamani iendelee kutumika.
Ahsante kwa kuuliza hili swali mkuuIlo goli la dhahabu ndio lilikuwaje?
Ilo goli la dhahabu ndio lilikuwaje?
Kila mechi Mugali atapiga hat trick.Oooh, Kusiwe na Offside.
Ahsante mkuu kwa muongozoGoli la dhahabu ni goli lililokuwa linafungwa muda wa nyingeza
Mpira ukiisha dak 90 mmetoshana nguvu zinaongezwa 30 sasa zaman katika hizo 30 za nyingeza ikitokea umefunga goli na mpira unaishia hapohapo
Hilo ndo liliitwa goli la dhahabu
Sheria nadhan ilifutwa 2006
Ile sheria ya kona tatu, inakuwa penalty irudi tu kwa kweliKatika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu ambayo iliondolewa, nakumbuka katika fainali za Kombe la dunia mwaka 2002, Senegal anamtoa Sweden kwa Goli la dhahabu,,
Je unaikumbuka Sheria ipi ya soka ambayo unatamani iendelee kutumika.
Naunga hoja kona tatu penalty irudishwe naona nj sheria nzuriii sanaIle sheria ya kona tatu, inakuwa penalty irudi tu kwa kweli
Goli la Dhahabu lilikuwa kama mmecheza dakika 90 na ikawa ni droo,,,basi katika zile dakika 30 za nyongeza timu yeyote ukipata Goli basi mpira unaisha hapo.Ilo goli la dhahabu ndio lilikuwaje?
Ilikuwa inatumikaje hiiIle sheria ya kona tatu, inakuwa penalty irudi tu kwa kweli
Hapa naona kama furaha ya mpira itapunguzwa,,,Mana timu zilikuwa zinapambana Sana kwenye kupata Goli la ugeniniSheria ya away goal . Sijui kwanini UEFA wameifuta
Hii VAR imepunguza nguvu ya soka na tunapoelekea watatuletea marefa maroboti.Offside zifutwe na goal la dhahabu lirudishwe ili haya Makampuni ya kubeti yafilisike na kusiwe na upangaji wa matokeo. Bila kusahau VAR iondolewe kabisa.
Naikumbuka sana hiyo sheria wakati wa WC 2002Goli la dhahabu ni goli lililokuwa linafungwa muda wa nyingeza
Mpira ukiisha dak 90 mmetoshana nguvu zinaongezwa 30 sasa zaman katika hizo 30 za nyingeza ikitokea umefunga goli na mpira unaishia hapohapo
Hilo ndo liliitwa goli la dhahabu
Sheria nadhan ilifutwa 2006
Akihojiwa na gazeti la Ujerumani liitwalo Bild,Van Basten amesema wanawaza kuondoa mchezo wa kuzidi katika soka.Alisema “sipati picha soka isipokuwa na ofside,washambuliaji watapata nafasi nyingi sana za kufunga”.Van Basten alisema mpira wa miguu utakuwa wakuvutia sana kama offside itaondolewa na anaamini jambo hilo litawafurahisha mashabiko na washambuliaji.Kuruhusu magoli ya offside, sio mnatizama mechi halafu game linaisha 0-0