The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mchezaji wa South Korea Ahn sung hwan kwenye World cup ya 2002 dhidi ya Italia alikosa penalty ila baadae akaja akafunga golden goal kwa kichwa kwenye extra time na mpira ukawa umeishia hapo kwa South korea kuingia quarter final na Italia kurudi kwao,Naikumbuka sana hiyo sheria wakati wa WC 2002
Ahn alikua kipindi hicho anachezea team ya Italia kwa mkopo team ya Perugia,ila baada ya kuwafunga Italia lile goli hao Perugia hawakumtaka tena na hakurudi tena kwenye Club yake ya Perugia huko Italia.