The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mchezaji wa South Korea Ahn sung hwan kwenye World cup ya 2002 dhidi ya Italia alikosa penalty ila baadae akaja akafunga golden goal kwa kichwa kwenye extra time na mpira ukawa umeishia hapo kwa South korea kuingia quarter final na Italia kurudi kwao,Naikumbuka sana hiyo sheria wakati wa WC 2002
Golden goal ni nzuri kuliko kufuta offside.Kuruhusu magoli ya offside, sio mnatizama mechi halafu game linaisha 0-0
Kuongeza idadi ya wachezaji wa akiba/substitution kutoka 3 hadi 5.
Sio watafungana magoli mengi sanaGoli la mkono liruhusiwe rasmi
Ki ukwel hata mimi sijapendezwa kufutwa kwa sheria hii..Sheria ya away goal . Sijui kwanini UEFA wameifuta
Madai yao ni kuwa sikuhizi sio ngumu sana kupata goli ugeniniKi ukwel hata mimi sijapendezwa kufutwa kwa sheria hii..
Away goal lilileta umakini na ushindani
Mkuu hii kitu bado haijapitishwa inasubili maamuzi ya mwisho toka kwa Uefa exactive committee hapo july 9.Sheria ya away goal . Sijui kwanini UEFA wameifuta
Ndio raha ya futbolSio watafungana magoli mengi sana
Safiii.Kuongeza idadi ya Substitution.Van Basten anatamani kuongeza idadi ya wachezaji wa sub kuanzia 5-7,kwa muda mrefu wadau wa soka wamekuwa wakizungumzia kuhusu suala la kuongeza wachezaji wa akiba na sasa FIFA inatarajia kuliangalia suala hili
Na refa anapiga filimbi kumteteaWaachie mpira uwe more physical sio mchezaji kama neymar akishikwa kidogo tu amelala
Kona kwa kutumia kichwa mbona hatariKona iwe inapigwa kwa kutumia kichwa sio mguu, kama enzi za Bush Stars na Born Towns...football was really football